ID card ya mtanzania inalengwa kuwa smart card ili iweze kuchukua nafasi ya pasi ya kusafiria endapo msafiri hana passport na pia kutambuliwa uraia wake kirahisi popote pale anapokuwa na ID card hio.
Kuna mtanzania mwenzetu tayari ameleta utetezi kuwa ID za NIDA ni smart Card sijui hili unalionaje?
Ukweli uko wapi?
Je Raisi alifahamishwa kuwa hizi Kadi /ID ni zakiwango hicho?
Anyway uchunguzi kama hawatauweka Makabatini kama kawaida ya mauchunguzi mengine tuliyozoea baada ya kugungua pesa zililiwa na wanene wenzao ambao ndiyo wako nao ofisi moja au ndiyo waliowawezesha wao kupata nafasi/ukuu tutajua ukweli!