Ukweli kuhusu Mabilioni ya NIDA: Kulinganisha NEC na NIDA Kimantiki

nashukuru mkuu... ni vema watanzania tukajenga tabia ya kuwa wakweli, kwetu wenyewe na kwa viongozi wetu.... kama vitambulisho vya NEC haviwezi tumika uchaguzi ujao, vina expire in 3 yrs na vya NIDA vita expire in 10 years, huwez walinganisha wote at per.... hapa ni sawa na kulinganisha chungwa na apple eti kwa sababu yote ni matunda....

Ku-expire kwa vitambulisho vya NEC ndani ya miaka 3 ni suala la kisiasa, jiongeze Mkuu!
 
Kuna ka mkakati kakutaka kuwaosha NIDA ili waonekane ni wasafi na hakuna ufisadi...huo ni ujinga mkubwa.Issue ya NIDA ni kwamba akina Mwaimu wamekula pesa ndefu mistake watu wakashusha data hapa...NIDA ni kundi la wezi lililofuja pesa mingi za walipa kodi wa bongo..kunyea debe ni muhimu hebu tusubiri uchunguzi unaoendelea sana sana hapa ni domo tu ili kuepusha ukweli kuwa kuna watu wamefanya ufisadi mkubwa hapo NIDA..
 
Ha haaa haaaa.... we kweli Mauza uza.... kwetu jina hilo ni kituko.... weka data unamficha nani? Kwa nini kwenye jukwaa la GT uongee kwa majungu?
 
Joseph Mbilinyi ''Mambo yanaenda ki- Mizuka'', bora hapa JF wadau wanajaribu kuhoji, kuchambua na kujiridhisha hatua mbalimbali zinazochukuliwa na serikali bila kusukumwa na 'mizuka'.
 
Niliwahi kutoa hiki kitambulisho cha NIDA benki Fulani,jamaa wa kaunta alikikataa akaniomba nimpe kingine,hiyo ilikua desemba mwaka Jana,nilijiuliza sana tatizo nn mpk amekikataa?
 
Nimesoma Magazeti mbali mbali na kumsikiliza mhe.Rais, baadhi ya mitandao ya kijamii na utafiti wangu mwenyewe , ki mantiki NEC na NIDA ni mbingu na Ardhi.

Wakati NIDA ni taasisi mpya na zoezi linalofanyika halijawahi kufanyika nchini kwetu kwa maana ya kumtambua mtanzania, mazoezi mengine yalikuwa ni ya usajili tu kama NEC wanavo fanya.

Madhumuni ya NIDA ni kumtambua nani Raia, nani Mgeni mkaazi na nani mkimbizi. Hili zoezi sio rahisi maana nchi yetu inapakana na nchi nyingi na kuwatofautisha watu wake sio rahisi.

Zoezi la NEC ni la kisiasa wakati mfumo wa NIDA una manufaa kiuchumi, kijamii na kiusalama ndo maana kazi yao inafanywa kwa umakini sana kwa kuhusisha vyombo vingine Kama RITA, Uhamiaji, Tamisemi na vyombo vingine vya ulinzi.

NIDA vs NEC.

1. Card ya NEC ni ya plastic na ina expire in 3 yrs kulingana na material iliyo tumika wakati ya NIDA ni smart card na life span yake ni miaka 10. Hivo ununuzi wa card za NIDA utakuwa ni wa juu kuliko wa card za NEC.

2. Kwa kuwa card za NIDA ni smart Card, hata printers zake ni specialized ili kuweza kuingiza data kwenye chip (watu wa IT watanielewa) wakati NEC ni printer za kawaida unazo weza print popote. Hivo ununuzi wa printa za NIDA utakuwa ghali.

3. Teknolojia ya NIDA ni ya kisasa na
ndo inayo tumika kwa sasa ulimwenguni na ni takwa la E. Africa comunity.

4. Kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania la leo tarehe 08.02.2016, ukurasa wa 4 , mwandishi amegawanya pesa za usajili za NEC (70b) kwa idadi ya vitambulisho (23m) na kupata kila
kimoja ni sh. 3,010 na kwa NIDA kachukua 179.6b kagawa kwa vitambulisho 2m. Kimsingi 70b ya NEC ni ya usajili tu bila kuweka gharama za BVR. Kama sikosei wakati wa zoezi la usajili wa NEC magazeti yaliwahi kureport gharama ya BVR moja kuwa ni kama $ 6,800 na walinunua BVR 8,000 hivo basi NEC walitumia kama $54,400,000 sawa na karibu 120b bila gharama za usafiri (logistics), karatasi nk hivo si kweli NEC walitumia 70b tu. Wakati gharama za NIDA sh179.6b ni pamoja na gharama za kujenga mfumo wa kielectronic, kumlipa mkandarasi, kununua mashine za usajili na consultant aliye andikwa gazeti la Mtanzania la leo, magari, ofisi zao kila wilaya, na jukumu kubwa la utambuzi linalohusisha vyombo mbalimbali ambalo NEC hawalifanyi (nilivo vitaja hapo juu) na kama mnavyojua uanzishwajiwa ofisi ni pamoja na ununuzi wa samani etc.

5. Wakati NEC hizi pesa walipewa ndani ya mwaka mmoja, na kwa sababu ya uchaguzi NEC walikuwa na cut off time, NIDA pesa hizi
wamepewa tangu mradi uanze mwaka 2011.

6. Kama expiration ya card za NEC ni 3 yrs na NIDA ni 10 yrs hivo cost of investment ya NEC ni mara 3 ya NIDA.

7. Kuhusu sahihi (signature) kuto kuwa kwenye kitambulisho ni suala la kiteknolojia na kiusalama zaidi.Vitambulisho vingi vya kisasa na hata vya nchi nyingi tu havina signature on the face ya kitambulisho maana data zimo ndani ya kitambulisho na zinasomeka kielectronic. Vitambulisho vya Nigeria, Malaysia, Philippines etc havina signature . Data za mhusika husomwa na kitu kinaitwa Card reader. Ni kwa sababu za kiusalama tu maana signature inaweza kugushiwa lakini finger prints haziwezi. Nimeona kwenye magazeti mengi NIDA wamepata award (tuzo) mbili za kimataifa kuhusiana na teknolojia yao lakini hapa kwetu hatuvithamini, mi naona kuna shida.

Mpaka sasa hivi, kwa utafiti wangu, toka 2011 NIDA ilipo anza, NIDA imepata 20% ya pesa zilizo idhinishwa na bunge kwa miaka yote hiyo na sababu hii ya ukata ndo maana zoezi linasuasua na hawajaweza malizia usajili na wameshindwa toa elimu kwa Umma sababu ya Ukata.

Sio nia yangu kutetea ufisadi na ndo maana najiita "Tanzania Njema Yaja". Naiona Tanzania ikielekea kwenye nuru lakini hatutafika kilele cha uzuri huo kama ukweli hautaelezwa... ni vema Watanzania wakauelewa ukweli kabla ya kuhukumu. Mh. Raisi alisema, "msema kweli ni mpenzi wa Mungu" nami naona nimetimiza usemi huo. Na ninaamini baada ya uchunguzi ambao mh. Raisi ameelekeza ufanyike, ukweli utafahamika na haki itatendeka.

Long live Tanzania. Ukweli utatuweka huru.......
Kinachisikitisha ni uke mkwamo na kusuasua kwy zoezi la utoaji National ID na pesa zikizotumika ni nyingi na waliopata ID hadi sasa no wachache sana less than 2mil.citizens.
Mbaya zaidi ni utajiri wa mtendaji mkuu na wasaidizi wake!
 
Mkuu na hizi sheria za cyber siwez andika uwongo hapa hasa ukzingatia na mheshimia Raisi kaligusia..... inauma saa nyingine career za watu zinaumizwa tu kwa sab zisizo za msingi... kama ni mafisadi waadhibiwe lakini kama sio basi hata wasifikiliwe kuwa ni mafisadi maana hii inakatisha tamaa sana....

Unafahamu
Magufuli mwanasayansi ameshindwaje kujua tofauti hii!? au kama kawaida vilaza ndio washauri? Au kama kawaida ya puppets wanaojipendekeza wanajifanya nao watumbua majipu? Kwa Rais asiye na subira kama huyu anahitaji washauri makini na wenye akili ya kujitegemea!! Bado hatujaona mengi!!

Mkuu, kwa hatua ambayo tumefikia hadi sasa kuna kila dalili ya mafanikio huko mbele.

Tusubiri taarifa ya mkaguzi.
 
Nimesoma Magazeti mbali mbali na kumsikiliza mhe.Rais, baadhi ya mitandao ya kijamii na utafiti wangu mwenyewe , ki mantiki NEC na NIDA ni mbingu na Ardhi.

Wakati NIDA ni taasisi mpya na zoezi linalofanyika halijawahi kufanyika nchini kwetu kwa maana ya kumtambua mtanzania, mazoezi mengine yalikuwa ni ya usajili tu kama NEC wanavo fanya.

Madhumuni ya NIDA ni kumtambua nani Raia, nani Mgeni mkaazi na nani mkimbizi. Hili zoezi sio rahisi maana nchi yetu inapakana na nchi nyingi na kuwatofautisha watu wake sio rahisi.

Zoezi la NEC ni la kisiasa wakati mfumo wa NIDA una manufaa kiuchumi, kijamii na kiusalama ndo maana kazi yao inafanywa kwa umakini sana kwa kuhusisha vyombo vingine Kama RITA, Uhamiaji, Tamisemi na vyombo vingine vya ulinzi.

NIDA vs NEC.

1. Card ya NEC ni ya plastic na ina expire in 3 yrs kulingana na material iliyo tumika wakati ya NIDA ni smart card na life span yake ni miaka 10. Hivo ununuzi wa card za NIDA utakuwa ni wa juu kuliko wa card za NEC.

2. Kwa kuwa card za NIDA ni smart Card, hata printers zake ni specialized ili kuweza kuingiza data kwenye chip (watu wa IT watanielewa) wakati NEC ni printer za kawaida unazo weza print popote. Hivo ununuzi wa printa za NIDA utakuwa ghali.

3. Teknolojia ya NIDA ni ya kisasa na
ndo inayo tumika kwa sasa ulimwenguni na ni takwa la E. Africa comunity.

4. Kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania la leo tarehe 08.02.2016, ukurasa wa 4 , mwandishi amegawanya pesa za usajili za NEC (70b) kwa idadi ya vitambulisho (23m) na kupata kila
kimoja ni sh. 3,010 na kwa NIDA kachukua 179.6b kagawa kwa vitambulisho 2m. Kimsingi 70b ya NEC ni ya usajili tu bila kuweka gharama za BVR. Kama sikosei wakati wa zoezi la usajili wa NEC magazeti yaliwahi kureport gharama ya BVR moja kuwa ni kama $ 6,800 na walinunua BVR 8,000 hivo basi NEC walitumia kama $54,400,000 sawa na karibu 120b bila gharama za usafiri (logistics), karatasi nk hivo si kweli NEC walitumia 70b tu. Wakati gharama za NIDA sh179.6b ni pamoja na gharama za kujenga mfumo wa kielectronic, kumlipa mkandarasi, kununua mashine za usajili na consultant aliye andikwa gazeti la Mtanzania la leo, magari, ofisi zao kila wilaya, na jukumu kubwa la utambuzi linalohusisha vyombo mbalimbali ambalo NEC hawalifanyi (nilivo vitaja hapo juu) na kama mnavyojua uanzishwajiwa ofisi ni pamoja na ununuzi wa samani etc.

5. Wakati NEC hizi pesa walipewa ndani ya mwaka mmoja, na kwa sababu ya uchaguzi NEC walikuwa na cut off time, NIDA pesa hizi
wamepewa tangu mradi uanze mwaka 2011.

6. Kama expiration ya card za NEC ni 3 yrs na NIDA ni 10 yrs hivo cost of investment ya NEC ni mara 3 ya NIDA.

7. Kuhusu sahihi (signature) kuto kuwa kwenye kitambulisho ni suala la kiteknolojia na kiusalama zaidi.Vitambulisho vingi vya kisasa na hata vya nchi nyingi tu havina signature on the face ya kitambulisho maana data zimo ndani ya kitambulisho na zinasomeka kielectronic. Vitambulisho vya Nigeria, Malaysia, Philippines etc havina signature . Data za mhusika husomwa na kitu kinaitwa Card reader. Ni kwa sababu za kiusalama tu maana signature inaweza kugushiwa lakini finger prints haziwezi. Nimeona kwenye magazeti mengi NIDA wamepata award (tuzo) mbili za kimataifa kuhusiana na teknolojia yao lakini hapa kwetu hatuvithamini, mi naona kuna shida.

Mpaka sasa hivi, kwa utafiti wangu, toka 2011 NIDA ilipo anza, NIDA imepata 20% ya pesa zilizo idhinishwa na bunge kwa miaka yote hiyo na sababu hii ya ukata ndo maana zoezi linasuasua na hawajaweza malizia usajili na wameshindwa toa elimu kwa Umma sababu ya Ukata.

Sio nia yangu kutetea ufisadi na ndo maana najiita "Tanzania Njema Yaja". Naiona Tanzania ikielekea kwenye nuru lakini hatutafika kilele cha uzuri huo kama ukweli hautaelezwa... ni vema Watanzania wakauelewa ukweli kabla ya kuhukumu. Mh. Raisi alisema, "msema kweli ni mpenzi wa Mungu" nami naona nimetimiza usemi huo. Na ninaamini baada ya uchunguzi ambao mh. Raisi ameelekeza ufanyike, ukweli utafahamika na haki itatendeka.

Long live Tanzania. Ukweli utatuweka huru.......
Huyo mkurugenzi amejilimbikizia mali za kiasi? Na kama imefikia hapa ujue hajasingiziwa. Labda mahakama, kesi ikipelekwa huko, itaamua vinginevyo.
 
tukumbuke pia nec inawafanyakazi wachache sana wakuajiliwa na wapo dar tu kazi za nec zinafanywa na halmashauri na vyombo vyake na wafanyakazi wake kwa kulipwa posho ya siku. NEC hawashirikishi vyombo vyovyote vya ulinzi wakati wa kutengeneza kadi mpaka litokee tatizo ndo wanaitwa kama clinic wa raia na mali zake . NEC registration kit zake zina kila kitu ambazo ni rahisi kufanya kila kitu hapo na kutoa kasi .NEC hawana uhakiki wa muda mrefu na wataalamu wengi ni mwandishi aliyepata mafunzo ya siku tatu anasaidiana na mtendaji wa sehemu husika sasa NIDA registration kit zao zipo separate ili kuongeza ubora zaidi kamera zake ni za ubora mkubwa sana na bei yake ni kubwa pia printer zake nazo ni tofauti na za nec .NIDA inaofisi sehemu mbalimbali pamoja na wafanyakazi wengi walioajiriwa .NIDA ubora wa vitambulisho nilisikia hata kenya waliomba kijifunza kwetu NIDA wamewekeza kwanza kabla ya kuanza ili zoezi toka 2011 mpaka leo ILA LA MWISHO HUU NI MTAZAMO WANGU TU TUINGOJE MAHAKAMA NDIO MSEMA KWELI DAIMA
Siwezi kukataa au kukubali kwa vinavyosemwa ila ni vema ungesema vifaa vyao ni vya aina gani kila kimoja japo vichache kama hizo kamera,printer n.k vimenunuliwa wapi na kwa shilingi ngapi
 
Jaman jaman. Siasa katika utendaji ni balaaaaa sana. Magufuli anaonea watu kwa kusikiliza wrong info.
 
Change alisema anagombea uwenyekiti wa bunge il aponye najeraha. Yapo majeraha mengi sana tz
 
NIGERIA IDENTITY CARD.jpg
Vipi hiki ni cha zamani mbona kina signature!
 
Jaman jaman. Siasa katika utendaji ni balaaaaa sana. Magufuli anaonea watu kwa kusikiliza wrong info.
Mfanyakazi wa serikali anaweza kujidhamini mahakamani kwa 2.6 billioni na huyu ana ka mtaa kazima mikocheni kwa mshahara gani??ht km anafanya biashara ana pata wapi muda wa kuisimamia io biashara hadi impe hayo ma billioni yote??u don't need kua malaika kubaini hapa tunaibiwa
 
Jambo usilo lijua ni usiku wa giza...
 
Jambo usilo lijua ni usiku wa giza...
Mkuu Tanzania Njema Yaja haya mambo ya takwimu km ulivyodadavua hapa ndo kazi inayofanywa na wasomi wetu,wanapoiba wanatumia usomi wao kuandaa taarifa za kitalaamu km ulivyofanya ndo maana nchi ipo hivi ilivyo. Nna uhakika hata kesi watashinda,kwa sababu wanazo document ambazo mahakama haiwezi kuzikataa. Lkn yote hiyo haiondoi ukweli kuwa jamaa wamepiga hela.
 
Nimesoma Magazeti mbali mbali na kumsikiliza mhe.Rais, baadhi ya mitandao ya kijamii na utafiti wangu mwenyewe , ki mantiki NEC na NIDA ni mbingu na Ardhi.

Wakati NIDA ni taasisi mpya na zoezi linalofanyika halijawahi kufanyika nchini kwetu kwa maana ya kumtambua mtanzania, mazoezi mengine yalikuwa ni ya usajili tu kama NEC wanavo fanya.

Madhumuni ya NIDA ni kumtambua nani Raia, nani Mgeni mkaazi na nani mkimbizi. Hili zoezi sio rahisi maana nchi yetu inapakana na nchi nyingi na kuwatofautisha watu wake sio rahisi.

Zoezi la NEC ni la kisiasa wakati mfumo wa NIDA una manufaa kiuchumi, kijamii na kiusalama ndo maana kazi yao inafanywa kwa umakini sana kwa kuhusisha vyombo vingine Kama RITA, Uhamiaji, Tamisemi na vyombo vingine vya ulinzi.

NIDA vs NEC.

1. Card ya NEC ni ya plastic na ina expire in 3 yrs kulingana na material iliyo tumika wakati ya NIDA ni smart card na life span yake ni miaka 10. Hivo ununuzi wa card za NIDA utakuwa ni wa juu kuliko wa card za NEC.

2. Kwa kuwa card za NIDA ni smart Card, hata printers zake ni specialized ili kuweza kuingiza data kwenye chip (watu wa IT watanielewa) wakati NEC ni printer za kawaida unazo weza print popote. Hivo ununuzi wa printa za NIDA utakuwa ghali.

3. Teknolojia ya NIDA ni ya kisasa na
ndo inayo tumika kwa sasa ulimwenguni na ni takwa la E. Africa comunity.

4. Kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania la leo tarehe 08.02.2016, ukurasa wa 4 , mwandishi amegawanya pesa za usajili za NEC (70b) kwa idadi ya vitambulisho (23m) na kupata kila
kimoja ni sh. 3,010 na kwa NIDA kachukua 179.6b kagawa kwa vitambulisho 2m. Kimsingi 70b ya NEC ni ya usajili tu bila kuweka gharama za BVR. Kama sikosei wakati wa zoezi la usajili wa NEC magazeti yaliwahi kureport gharama ya BVR moja kuwa ni kama $ 6,800 na walinunua BVR 8,000 hivo basi NEC walitumia kama $54,400,000 sawa na karibu 120b bila gharama za usafiri (logistics), karatasi nk hivo si kweli NEC walitumia 70b tu. Wakati gharama za NIDA sh179.6b ni pamoja na gharama za kujenga mfumo wa kielectronic, kumlipa mkandarasi, kununua mashine za usajili na consultant aliye andikwa gazeti la Mtanzania la leo, magari, ofisi zao kila wilaya, na jukumu kubwa la utambuzi linalohusisha vyombo mbalimbali ambalo NEC hawalifanyi (nilivo vitaja hapo juu) na kama mnavyojua uanzishwajiwa ofisi ni pamoja na ununuzi wa samani etc.

5. Wakati NEC hizi pesa walipewa ndani ya mwaka mmoja, na kwa sababu ya uchaguzi NEC walikuwa na cut off time, NIDA pesa hizi
wamepewa tangu mradi uanze mwaka 2011.

6. Kama expiration ya card za NEC ni 3 yrs na NIDA ni 10 yrs hivo cost of investment ya NEC ni mara 3 ya NIDA.

7. Kuhusu sahihi (signature) kuto kuwa kwenye kitambulisho ni suala la kiteknolojia na kiusalama zaidi.Vitambulisho vingi vya kisasa na hata vya nchi nyingi tu havina signature on the face ya kitambulisho maana data zimo ndani ya kitambulisho na zinasomeka kielectronic. Vitambulisho vya Nigeria, Malaysia, Philippines etc havina signature . Data za mhusika husomwa na kitu kinaitwa Card reader. Ni kwa sababu za kiusalama tu maana signature inaweza kugushiwa lakini finger prints haziwezi. Nimeona kwenye magazeti mengi NIDA wamepata award (tuzo) mbili za kimataifa kuhusiana na teknolojia yao lakini hapa kwetu hatuvithamini, mi naona kuna shida.

Mpaka sasa hivi, kwa utafiti wangu, toka 2011 NIDA ilipo anza, NIDA imepata 20% ya pesa zilizo idhinishwa na bunge kwa miaka yote hiyo na sababu hii ya ukata ndo maana zoezi linasuasua na hawajaweza malizia usajili na wameshindwa toa elimu kwa Umma sababu ya Ukata.

Sio nia yangu kutetea ufisadi na ndo maana najiita "Tanzania Njema Yaja". Naiona Tanzania ikielekea kwenye nuru lakini hatutafika kilele cha uzuri huo kama ukweli hautaelezwa... ni vema Watanzania wakauelewa ukweli kabla ya kuhukumu. Mh. Raisi alisema, "msema kweli ni mpenzi wa Mungu" nami naona nimetimiza usemi huo. Na ninaamini baada ya uchunguzi ambao mh. Raisi ameelekeza ufanyike, ukweli utafahamika na haki itatendeka.

Long live Tanzania. Ukweli utatuweka huru.......
Mwizi yoyote ukimpa nafasi ajitete atashinda,
Wewe ni mwizi tu hata utuwekee research za ki ngese hutaacha kuiba,we na bwanako maimu ni mijizi tu
 
Matusi ya nini mkuu? Hoja si inapingwa kwa hoja... je hujui kwamba nami naweza kukutukana tu hapa kama nikiamua kuwa chizi kama wewe? Jibu hoja mkuu tafadhali.
 
....Kama kweli NIDA wangetoa vitambulisho vya ubora huo tungeelewa kidogo. Lakini vitambulisho vyao havina tofauti na vya NEC, hivyo ni sahihi kabisa kwa Rais wetu ama mwananchi yeyote yule mzalendo kuhoji hizi takwimu za NIDA na kutaka uchunguzi kufanyika.
Wengine tulikula kiapo cha kutunza siri wakati wa zoezi la uandishi la BVR tulipokuwa tukitengeneza vitambulisho vya NEC. Kama tungeamua kufunguka hapa, sijui kama NEC wanastahili kupongezwa kama alivyofanya mheshimiwa rais. Na nimedokeza hivyo kwa kuwa zoezi la vitambulisho vya NEC lilikuwa na mashinikizo ya kisiasa. Unakuta mkuu wa mkoa anatoa amri kuwa kufikia tarehe fulani, watu wote wa mkoa wake wawe wamepata vitambulisho, hivi unadhani kuna ubora hapo? Anyway, niishie hapo nisije nikakiuka kiapo
 
Back
Top Bottom