Ukweli Kuhusu Kilichotokea Ndago Singida

Imebidi,

Umeandika mengi sana lakini Great Thinker huwezi kumdanganya kwa porojo zako unasema ulikuwepo halafu hujui kama kuna mtu kapoteza maisha unataka kupotosha umma kwa mapenzi yako kwa Chadema, kwenye maandiko yako hukuna hata sehemu moja umeleza kama kuna mtu kapoteza maisha inawezekana na wewe kati ya wafuasi wa Chadema walimpiga mawe ya kichwa mfuasi wa CCM mpaka akapoteza maisha umemua kuja JF kujikosha, kitu mlichofanya Singida ni cha kinyama sana.

Huo ndo mshahara wa ukuwadi. Mwigulu alipanga mauaji haya yatokee akidhani yanafaida kwake kisiasa. Nakwambia hata ungekuwa mkutano wa chama chochote unafanyika halafu chama kingine kikafanye fujo za kipombe pombe namna hii yangetokea maafa kama haya au zaidi. Mwigulu ameanza kuvuna anachopanda. Inasikitisha karne kama hii kuwa na mwasiasa uchwara kama huyu.
 
Imebidi unasema mnyika alikuwapo kwenye huo mkutano na tumaini makene alisema njia ya mwongo ni fupi mnyika hakuwepo so propaganda wekeni pembeni kidogo mtupe fact

Samahani labda wewe unaweza kutusaidia kuwa Mh. Mnyika hakuwepo kwenye huo mkutano alikuwa wapi?
 
Tumika tu kama kondom, ila moyo wako unajua A-Z, lete basi taarifa yako itu-convince, sio kukashifu watu iihali umeshindwa kukosoa kwa hoja.......mi naamini vijana wa Mwigulu kuna vitu vikubwa sana anawafanyia kiasi cha kumwabudu, sidhani kama ni pesa tu, kuna makubwa mno ambayo siku tukijua hatuta amini, mngekuwa mnatunga mimba ingesha dhihirika

Wanajimbo la Iramba Magharibi mnahitaji sera mbadala kuwaletea maendeleo. CCM imeshindwa baada ya kuwepo miaka 50+. Vurugu za kuzuia mikutano ya kuwaletea sera mbadala inayoletwa na vyama vingine vilivyoanzishwa kihalali ili kuwawezesha uchaguzi wa aidha kuendelea na ile sera ya chama kilichoshindwa kwa miaka 50 au sera mpya za vyama hivi vingine. Uchaguzi wa busara ni lazima uwe na vitu zaidi ya kimoja mbele yako. Na ni lazima uvielewe vyote. Tujihadhari na viongozi wanaozuia mikutano ya siasa ya vyama vya upinzani maana wanaogopa mabadiliko ya heri. Iramba Magharibi zindukeni sasa kumekucha kwa mabadiliko. Yaliyowapata ninyi chini ya mgandamizo wa wabunge wanaotekeleza sera za chama cha mgandamizo na kududumiza maendeleo yasitokee kwa watoto wenu. Jamani kumekucha. 2015 ii mlangoni. Ninawalilia Iramba Magharibi kufanya maamuzi ya kishujaa kuikataa CCM.
 
just think twice,nchemba yuko sumbawanga,walioko iramba ni mnyika na watu wake,unapopotosha ukweli ujue kuna wengi wanafatilia,hatuishii kuambiwa na kumeza ilivo ndo mana tunapinga uongo na uzushi huu

Kiongozi hebu tuende taratibu

1. Unaelewa maana ya kuagiza na kukamkabidhi mtu majukum flan?

Kama unafaham je? Unapokabidhi majukum, wakati wa utekelezaji lazima uwepo? Unatofautishaje hili na kuwepo au kutokuwepo kwa Nchemba?

2. Nimekuuliza ni mara ngapi tbc imekuwa ikiposha ukweli kuhusu mambo mbalimbali kulinda watawala?

3. Je? Katika fujo hizo chadema wanafaidikaje. Inawaita raia alafu badala ya kuwapa sera inawapiga? Kunaukweli? Thibitisha...

Usifanye papara za kishabiki katika kujibu ningependa kuelimishwa, ujibu kwa kujenga hoja tukaelewa sote.
 
Imebidi,

Umeandika mengi sana lakini Great Thinker huwezi kumdanganya kwa porojo zako unasema ulikuwepo halafu hujui kama kuna mtu kapoteza maisha unataka kupotosha umma kwa mapenzi yako kwa Chadema, kwenye maandiko yako hukuna hata sehemu moja umeleza kama kuna mtu kapoteza maisha inawezekana na wewe kati ya wafuasi wa Chadema walimpiga mawe ya kichwa mfuasi wa CCM mpaka akapoteza maisha umemua kuja JF kujikosha, kitu mlichofanya Singida ni cha kinyama sana.

Tukiwa pale Kinampanda ndipo habari zikaanza kusambaa kwa kasi kwamba kuna kijana ameuawa. Mkutano wa Kinampanda uliisha salama na hapakuwa na kurushwa mawe. Wananchi walihudhuria kwa wingi ukizingatia pale ndipo palipo Chuo cha Ualimu cha Kinampanda.
 
Mleta thread, Imebidi naomba uwe muwazi kiasi cha kutoacha mshaka.
Unaandika vijana walikuwa katka angle tatu tofauti ili kumdhibiti Mnyama lakini ilishindikana!
Sawa, lakini naomba kujua wewe ulikuwa wapi hadi kusikia kijana mmoja anaongea na simu na ukajua kuwa anaye jibishana naye ni Mwingulu Nchemba na maagizo ya Nchemba ni kurusha mawe.
 
Najiandaa kuandika story itakayotolewa Filam Yenye title THE RISE AND FALL OF CCM.Ukomo wa kila kitu ni 40.Ikizidi hapo huwa kituko.mf za mwizi 40, mtu akifa tunalia siku 40, mama akijifungua anakaa ndani siku 40,Lakini CCM imezidisha miaka 40 ndio maana wamechanganyikiwa wanafanya vituko kila uchao hiyo ni ishara kwamba mwisho wao umefika na tunajandaa kuizika hasa huku kwetu mbeya haitakiwi kabisa.CDM Mwendo mdundo mpaka kieleweke.Mwigulu asiwatishe hana lolote ndio maana anatumiwa na mafisadi kuizungumzia CDM kwenye vikao vya bajeti vinavyoendelea DOM.
MWIGULU tunakuja kaa tayari kuachia jimbo Fisadi mkubwa wewe anza kutafuta nafasi yakurudi BOT ulikokuwa unapiga hela.
 
Hizi taarifa za Mwigulu kuandaa na kuongoza vurumai huko Singida zinaweza kuwa za ukweli kwani jana kwenye mkutano wa ccm Sumbawanga alikuwa hatulii kila mara alikuwa akitoka kwenye kiti alichoandaliwa na kuzuguka nyuma ya jukwaa huku akipiga cimu mara kadhaa alinyanyuka na kuzunguka nyuma ya jukwaa na kurudi tena hilo lilikuwa wazi jana kwani alikuwa front banch na ilikuwa rahisi kuonekana kwani alikuwa na skafu lake na wakati akiongea na cim alionekana akitoa maagizo huku akifoka foka, huyu jamaa gaidi kumbe!

Makamanda wetu JF mliopo Vodacom mbona mnatuangusha sana, tupeni maongezi ya kivoda cha Mwigulu hapa
 
Chadema mbona mpo kimya kuhusu mauja ya Singida mfuasi wa Chadema kauwawa kwa kupigwa na mawe na wafuasi wa Chadema mpaka kapoteza maisha, hawa Pro-Chadema JF Kurunzi, Ptz, Mungi, Imebidi, Kasimba G, Ng'wanangwa...mnasema Mwigulu Nchemba ndio kaleta fujo kwenye mkutano wa Chadema, sasa jana mbona tumemuona kwenye mkutano Sumbawanga au baada ya kutoka Sindida akaenda Sumbawanga.
 
Last edited by a moderator:
The truth shall always stand!!! Itafahamika tu, bado sana, hadi 2015, mengi yatatokea na kusikika, tuombe uzima tu ili tuzidi kushuhudia kwa mara ya kwanza, Historia ya nchi hii ikibadilika, wanadhani ccm itasimama na kutawala milele, ni Mungu peke yake anayeweza kutawala milele na milele amina. Thank you brother kwa habari za UKWELI NA UHAKIKA, siyo kama TBCCM! Jitahidi kuwa mvumilivu, humu kuna ccm wanakera kweli, unaweza kuwaporomoshea matusi ukaambulia ban! Karibu jamvini, hapa ndipo TUNAPOTHUBUTU KUANDIKA YOTE AMBAYO HATUWEZI KUYASEMA HADHARANI!!! ONCE AGAIN, WELCOME BROTHER. SOMA SIGNATURE YANGU CHINI!!!!
 
Jepusheni na uchadema na uccm ili muje na fikra pevu. Usaliti ni kitu kibaya au ndiyo tuseme kipenda roho hula nyama mbichi. Tanzania inahitaji watu makini na si wale wanaoteua watoto wao, wake zao kuwa wabunge bila kizingatia uwakilishi ki-nchi. Ahsanteni.
 
Mwiulu Tangu akiwa Mezengo High School alikua na tabia ya unafki, kujipendekeza kwa walimu, na mtu asie na Busara. Tabia hiyo anayo mpaka sasa. Wanairamba wasitegemee kupata chochote toka kwa huyu jamaa, na wala Taifa halitanufaika kwa chochote toka kwa Mwigulu zaidi ya ujiinga anaoufanya pale Bungeni. Poleni wana Iramba.
 
Wana jimbo la Iramba magharibi 2015 tuchague viongozi wanaofaa na sio bora viongozi
 
Chadema mbona mpo kimya kuhusu mauja ya Singida mfuasi wa Chadema kauwawa kwa kupigwa na mawe na wafuasi wa Chadema mpaka kapoteza maisha, hawa Pro-Chadema JF Kurunzi, Ptz, Mungi, Imebidi, Kasimba G, Ng'wanangwa...mnasema Mwigulu Nchemba ndio kaleta fujo kwenye mkutano wa Chadema, sasa jana mbona tumemuona kwenye mkutano Sumbawanga au baada ya kutoka Sindida akaenda Sumbawanga.


Mkuu mbona hua nakufagilia japo ww ccm.

Nimemuuliza rais wa migomo si umsaidie?

1. Mzazi mwenye akili timam anaweza kumwita mwanae na akitokea anamua? ie chadema iliita washabiki wake kuja kuwauwa? Na kama divyo hebu tusaidien kama great thinkers, chadema wanafaidikaje na mauwaji hayo?

2. Nchemba hayupo singida ni kweli au la sio hoja. Wakati osama anauwawa kule pakistan, obama hakuwepo. Tofautishen hili na la Nchemba.

Simhukum Nchemba, sina ushahid
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom