Ukweli Kuhusu Kilichotokea Ndago Singida

Good CDM spirit, next time when you see him just stone him to death. Peopleees Killers

tunawajua nyie ni cd mauaji ,mlianza na tindikali igunga,mkaua kada wenu aliewasaliti,mkamtesa ulimboka sasa mmeua mwana ccm mwingine,tunawajua ni majambazi nyie ila hamtafika mbali
 
Uchanga wa hiki chama cha siasa ndio huo,wanafanya fujo halafu wanasingizia upande wa pili.,huyu anaejifanya ye mtumishi wa halmashauri ni mzushi na ni muongo mkubwa,.taarifa zilizotolewa na vyombo vya habari ni sahihi

Rais wa migomo

Punde utakuwa wa fujo kama utaendeleza utetezi wa kisiasa, kuwa makin na uwe muungwana

1. Mara ngapi tbc inadanganya ukweli na kuposha kuhusu migomo ya madakitari?

2. Nimikutano mingapi? Chadema wamefanya inchi kote bila matatizo kwanin kinampanda?

Nauona mwisho mbaya wa Nchemba na hakika hatadum.
 
Chaga development manifesto is dying sasa,wachaga tuungane tuiokoe kampuni yetu.
 
Mimi nafikiri huyu mwingulu anaroho ya mauwaji akiwa igunga ilitokea kitu kama hii na arumeru na tena hapo kwao.
 
Rais wa migomo

Punde utakuwa wa fujo kama utaendeleza utetezi wa kisiasa, kuwa makin na uwe muungwana

1. Mara ngapi tbc inadanganya ukweli na kuposha kuhusu migomo ya madakitari?

2. Nimikutano mingapi? Chadema wamefanya inchi kote bila matatizo kwanin kinampanda?

Nauona mwisho mbaya wa Nchemba na hakika hatadum.

just think twice,nchemba yuko sumbawanga,walioko iramba ni mnyika na watu wake,unapopotosha ukweli ujue kuna wengi wanafatilia,hatuishii kuambiwa na kumeza ilivo ndo mana tunapinga uongo na uzushi huu
 
Hatutorudi nyuma hadi ukombozi upatikane,Rabi atupe nguvu, uvumilivu na upendo ili tuweze kupambana vyema katika kuleta ukombozi wa taifa letu.
 
tunashukuru kwa taarifa, tunapenda watumishi waaminifu wa serikali kama wewe ambao hampendi kuona taarifa zinapotoshwa
 
Mpaka ccm itakapokuja kufikia hatua ya kung'oka madarakani tutashuhudia umwagikaji wa dam mkubwa.ukiongozwa na ccm.
 
Imebidi,

Umeandika mengi sana lakini Great Thinker huwezi kumdanganya kwa porojo zako unasema ulikuwepo halafu hujui kama kuna mtu kapoteza maisha unataka kupotosha umma kwa mapenzi yako kwa Chadema, kwenye maandiko yako hukuna hata sehemu moja umeleza kama kuna mtu kapoteza maisha inawezekana na wewe kati ya wafuasi wa Chadema walimpiga mawe ya kichwa mfuasi wa CCM mpaka akapoteza maisha umemua kuja JF kujikosha, kitu mlichofanya Singida ni cha kinyama sana.
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni mtumishi katika Halmashauri ya Wilaya ya Iramba, Kiomboi, Singida katika idara ya elimu. Nilishiriki katika mikutano miwili ya CHADEMA iliyofanyika Ndago na Kinampanda na nilishiriki kupokea msafara kuanzia Mbelekese. Ukweli ni kwamba utaratibu wa kuvuruga mikutano ya CHADEMA uliandaliwa mapema kwa kuwashirikisha OCD, Mkuu wa Wilaya na Mbunge wa Iramba Magharibi, na jambo hili tuliwaeleza viongozi wa CHADEMA kabla hawajafika Ndago. Mpango uliokuwepo na utakaokuwepo katika mikutano ya leo ni kuwaandaa vijana wasio pungua 50 wakiwa wamelewa chakari. Wao kazi yao ni kuhakikisha kwamba viongozi wa CHADEMA hawahutubii mikutano na wakijifanya hawaelewi basi mawe yapopolewe. Jambo hili halijawafurahisha watumishi wengi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba wanaopenda haki, na kuna malumbano makali yanaendelea chini kwa chini.

Sasa jana, mara msafara ulipofika Ndago na kabla mkutano haujafunguliwa wale vijana walikuwa wamekaa pembe tatu tofauti nyuma ya Mnyika, mbele kabisa karibu na barabarani na kushoto wakiwa wamejichanganya na maaskari. Lengo ilikuwa ni kumlenga mawe Mnyika moja kwa moja ili ionekana kwamba hatakiwi kabisa Iramba. Bahati nzuri aliposimama Waitara akaanza na tahadhari kali sana kwamba tunafahamu mipango yote haramu na akawaambia maaskari wanawajibika kulinda mkutano kwa sababu mkutano ni halali na una baraka zote za Jeshi la Polisi. Moja ya wale vijana alimpigia simu Mwigulu kwamba mpango wao umeingia mkenge kwa sababu jamaa wa CHADEMA wanaujua mpango mzima. Mwigulu alimfokea yule kijana kwa ukali sana na akamwambia anataka kuona mawe yanapigwa ndani ya dakika tano vinginevyo ajiandae. Moja kwa moja yule kijana akawaambia wenzake kwa ishara na wakatoa mawe mfukoni wakaanza kurusha. Purukushani ziliendelea na vijana wa CHADEMA wakawa wanajihami na kuwalinda viongozi waliokuwepo kwa karibu kabisa.

Vurugu ziliendelea kwa takribani kati ya dk 20-30, na wananchi wengi kusambaratika. Waitara na Mnyika walionekana wakiwasiliana kwa simu na kuwalaumu polisi waliokuwepo, ambao wao walikuwa wanachekacheka tu. Ndipo utulivu ukarejea na wananchi walirudi kwa kasi ya ajabu, na mkutano ukajaa tena na Mnyika akaendelea kuhutubia. Mnyika alipokuwa anamalizia hotuba yake, ndipo landrover ya FFU ikaingia ikiwa imesheheni maaskari. Mnyika akawaambia wananchi kwamba maaskari wameingia lakini baada ya fujo kutokea na wananchi wamejilinda wenyewe.

Mkutano uliisha kwa amani, na kisha msafara ukaelekea Kinampanda palipokuwa na Mkutano mwingine. Tukiwa pale Kinampanda ndipo habari zikaanza kusambaa kwa kasi kwamba kuna kijana ameuawa. Mkutano wa Kinampanda uliisha salama na hapakuwa na kurushwa mawe. Wananchi walihudhuria kwa wingi ukizingatia pale ndipo palipo Chuo cha Ualimu cha Kinampanda.

Taarifa nilizozipata baadaye ni kwamba yule kijana aliuawa ndani ya nyumba ya mtu kando kidogo na mkutano ulipokuwa unafanyika. Mtu huyo pia anatajwa kuwa kada wa CCM aliyekuwa anagombea ukatibu kata na ndiye aliyepewa fedha na Mwigulu kuratibu shughuli nzima ya fujo.

Sina uhakika kama mikutano ya leo ya CHADEMA itafanyika kwa sababu vijana wameshaanza kukamatwa na kuna hatari polisi wakazuia mikutano ya leo.

Pamoja na yote haya, Mwigulu watu wanamchukia sasa hivi kwa mambo ya kihuni anayoyafanya. Hatujuwahi kuwa na Mbunge wa namna hii katika Jimbo hili.

Bahati mbaya ndiyo nimejiunga na hii JF rasmi leo na sina uhakika kama nitapata sehemu na mtandao niweze ku-post tena.

Hizi taarifa za Mwigulu kuandaa na kuongoza vurumai huko Singida zinaweza kuwa za ukweli kwani jana kwenye mkutano wa ccm Sumbawanga alikuwa hatulii kila mara alikuwa akitoka kwenye kiti alichoandaliwa na kuzuguka nyuma ya jukwaa huku akipiga cimu mara kadhaa alinyanyuka na kuzunguka nyuma ya jukwaa na kurudi tena hilo lilikuwa wazi jana kwani alikuwa front banch na ilikuwa rahisi kuonekana kwani alikuwa na skafu lake na wakati akiongea na cim alionekana akitoa maagizo huku akifoka foka, huyu jamaa gaidi kumbe!
 
Mwigulu ni muuaji. Si juzi tu kasema aliuza vx kununua madawati? Ila huyu jamaa ni killer kuzidi hata wakongwe ndani ya CCM.
 
Back
Top Bottom