cdm ukweli ni mchungu kwenu???? Muige tabia ya wanaccm kuwa wavumilivu
magamba wamebanwa kwenye kona ndo maana wana tapatapa ni habari za kizushi na za majitaka.
Mimi mwenyewe nilikuwepo kwenye mkutano huo mwanzo mpaka mwisho, siku shuhudia aliyoyaandika tuntemeke. Tuntemeke ameandika uwongo mtupu mwanzo mpaka mwisho. Watanzania tutumie vizuri akili zetu tulizopewa na mwenyeenzi mungu bure, kuliko kudanganja watu.