Ukweli kuhusu CHADEMA Iringa na uongo wa TUNTEMEKE

Haya sasa kama si kujichanganya ni nini? Katibu amefafanua vizuri sana huyu Josephine anakuja na kusema mgogoro huu hautadumu kitambo. Kwani katibu kasema kuna mgogoro? Jamani mbona mnatuchanganya? Mtu akisema mnasema mnafiki. Hilo nalo hapo hamlioni?

Kimbunga don't quote me wrong,aliyofafanua yanaeleweka,nilichosema kama issue ni mkoa soon tutasikia umegawanywa.

Rafiki kazi imekushinda,am sorry nitatumia haki yangu yakutoa maoni kujibu hoja pia,Imetosha mambo mnayofanya hayatavumilika tena,usiadae watu you are the same Tuntemeke,umebadili ID tu.

Mawazo yako tulishayasoma kitambo.Kinachonishangaza ni pale mnaposhindwa kutumia vikao halali kujibu hoja na kuleta unafiki hapa jukwaani.
 
Aje hapa huyo dada muimba taarabu kwa jina la TUNTEMEKE aliyetumwa na anatumika,ndo maana kwenye post yake nimdesema amechanganyikiwa yule,hela za masharti za kwa Mwakipande zmeisha naona sasa anawekwa mjini na wanaomtumia kuimba nymbo kama hzo,waje na mwenzie ritz na Judi wa kishua,na mwaka huu watakonda sana na MUZIKI WA M4C, VIVA CHADEMA

Duuu! Mpaka huko?
 
Mengi yalisikika kwa wafuasi wa CDM pale Njombe kuwa Chiku Abwao alipita kwa rushwa, uchaguzi usingekuwa na Mizengwe Thomas Nyimbo kampita Chiku Abwao kwa kila sifa
 
Huyo Tumteneke ndio mdudu gani ndani ya C.D.M?nimeisoma post yake ni wazi ilijaa chuki,fitina na uongo ambao haukupangika kabisa dhidi ya Dr Slaa,sikutaki kuchangia maana nilijua ingeweza nisababishia ban hapa J.F,nawasihi uongozi wa C.D.M kua makini sana na watu kama hao wanaotumika kueneza sumu ndani ya chama
 
Kimbunga don't quote me wrong,aliyofafanua yanaeleweka,nilichosema kama issue ni mkoa soon tutasikia umegawanywa.

Rafiki kazi imekushinda,am sorry nitatumia haki yangu yakutoa maoni kujibu hoja pia,Imetosha mambo mnayofanya hayatavumilika tena,usiadae watu you are the same Tuntemeke,umebadili ID tu.

Mawazo yako tulishayasoma kitambo.Kinachonishangaza ni pale mnaposhindwa kutumia vikao halali kujibu hoja na kuleta unafiki hapa jukwaani.
Mkuu Josephine umenifanya nicheke kila siku unasema unamfahamu Tuntemeke kumbe hata hamumfahamu! Mwanzoni mkasema Waberoya ndiye Tuntemeke leo mnasema Kimbunga ndiye Tuntemeke. Basi kumbe kwa hakika hamumjui Tuntemeke na nadhani yumo ndani yenu. Kuna siku ulisema anatakiwa hayo mambo ayaseme vikaoni kwa kuwa huwa anahudhuria na ukasema katika uteuzi wa Komu alikubaliana lakini akaja kulalama JF. Iweje huyo ndio awe mimi wakati mimi hata kadi ya CDM sina.
 
Last edited by a moderator:
Huyo Tumteneke ndio mdudu gani ndani ya C.D.M?nimeisoma post yake ni wazi ilijaa chuki,fitina na uongo ambao haukupangika kabisa dhidi ya Dr Slaa,sikutaki kuchangia maana nilijua ingeweza nisababishia ban hapa J.F,nawasihi uongozi wa C.D.M kua makini sana na watu kama hao wanaotumika kueneza sumu ndani ya chama

Ukweli unabaki palepale ndani ya CDM kitu demokrasia hakuna, kuwa kiongozi ni SHARTI ulambe miguu uongozi uliopo (Muasisi Mzee Mtei, Mbowe na Dr. Slaa). Sote twatambua Zito anabaki ndani ya Chama kutokana na uwezo wake wa kujenga hoja na kuinua muonekano wa chama miongoni mwa watz
 
Siasa za majitaka ndizo zinazowafanya waganga njaa kama Tuntemeke kujiuza nafasi na akili zao.

Iko hivi: tutakuwa tayari kuwapa CDM miaka isiyopungua mitano wao kujipanga na kusahihisha kasoro zao. Niulize hivi kwani TANU na CCM walipewa miaka mingapi? Katikati ya hayo bado Kikwete akadai eti apewe muda (miaka 5) eti nae anajifunza. So Tuntemeke huna hoja kwenye hili, na kwa watu kama Ritz na ccm yenu hii ni vizuri mlijue.

CDM has the empathy and growing trust of the citizens of this raped country. We can stand and support them thru understanding, love and accountability.
 
Ukweli unabaki palepale ndani ya CDM kitu demokrasia hakuna, kuwa kiongozi ni SHARTI ulambe miguu uongozi uliopo (Muasisi Mzee Mtei, Mbowe na Dr. Slaa). Sote twatambua Zito anabaki ndani ya Chama kutokana na uwezo wake wa kujenga hoja na kuinua muonekano wa chama miongoni mwa watz

Justify please
 
Nilikuwa nimeishakuwa na mawazo ya kumshangaa padri Dr. Slaa; nashukuru kwa ufafanuzi huu ila lajua mtoa hoja za uongo atakuwa katumwa tu kwani CCM wanajua kuwa wana CHADEMA daima tunachungulia kwenye Jamii forum kupashana habari.
 
Ukweli unabaki palepale ndani ya CDM kitu demokrasia hakuna, kuwa kiongozi ni SHARTI ulambe miguu uongozi uliopo (Muasisi Mzee Mtei, Mbowe na Dr. Slaa). Sote twatambua Zito anabaki ndani ya Chama kutokana na uwezo wake wa kujenga hoja na kuinua muonekano wa chama miongoni mwa watz

That's typcial ccm strategists like you and those you know. But take this; CDM is growing and perfecting itself. CCM is wanning and now it's a waste.

CDM can and is becoming a better unit every passing day. Can you say that about your ccm?
 
Mkuu Bukanga umesoma lakini majibu ya Katibu na ile post ya Josephine?

Tatizo lako wewe hueleweki!!
Na mimi napitia post zako kwa sababu nimesoma UD na mtu anaitwa Kimbunga na alikuwa ana misimamo isiyoeleweka kama wewe, busara ni kuwa ukiona kitu kibaya huwa una pm..

Punguza ushabiki mkuu!!
 
Justify please

Ndani ya CDM kuna madaraja ya wanachama/viongozi

1. Class A: Northern Circuit: ndilo linatoa maamuzi kuhusu pesa, kugombea na kupata vyeo; 75% ruzuku inaliwa huku

2. Class B; Maeneo yaliyobaki; kazi yao ni kusikiliza kundi la kwanza wameamua nini, wao ni watekelezaji; 25% ruzuku huangukia hapa
 
Kwa ushahidi uliotolewa na Katibuwa mkoa Iringa (CHADEMA) Bw. Allen Kilewella juu ya uongo wa TUNTEME kwa kupost hoja yake ya uchochezi na uongo juu ya viongozi wa mkoa Iringa, wanachama na Chadema Taifa, Naomba kuwakilishi hoja kwenu wadau, kuwa mods wachukue hatua stahiki kwa huyu mtu kwa kueneza habari ya uchochezi na uongo hivyo naomba adhabu imuandame haraka sana.
Nawasilisha
 
Wana bodi!

Ili Jukwaa hili la JF liendelee linahitaji sisi members tutofautiane mawazo, hoja, mitazamo n.k

Binafsi napenda sana hizi challenge ideas kutoka kwa hawa JF members ambao ni wapinzani wetu na hasa akina Tuntemeke, MS, FF na sasa Kimbunga! As great thinkers tunapaswa kuwajibu kwa hoja na facts kama alivyofanya Allen!
ki ukweli upo umuhimu wa wao kuendelea kuepo humu jukwaani ili tuwashinde kwa hoja, cha msingi tuwavumiliane ingawaje sometimes hoja zao huwa zina maudhi kwelikweli!

Again & again nawaomba ma mods wawatoe kifungoni wapinzani wetu wa jadi akina MS, FF etc ili waje tushindane nao kwa hoja!
 
Huyo Tunte ni mchawi asiye na aibu njama zake tumeishazijua,
Sisi sio bendera fuata upepo tunashukuru sana kwa ufafanuzi mzuri.
 
Asili ya watu walafi,wazandiki na wenye gilba ni kuzusha zusha mambo.tuntemeke ni nan ktk cdm?ana wajibu gani ktk cdm?wakuu tuelewe kuwa tunatofautiana sana ktk hekima na busara,na wakati mwingine akili so anapotokea mtu mmoja kila siku anazusha mambo busara ni kumpuuza.nadhani atakapokuja kujitambua ataacha huo utoto na upuuzi.
 
Huyu TUNTEMEKE kwa nini MODS msimpige life BAN?, ana nini huyu? kwa sababu ana idhalilisha JF kwa habari zake za uongo, uchonganishi, majungu, umbeya, usengenyi, uzushi, n.k
 
Back
Top Bottom