Tango73
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 2,128
- 1,225
Kweli ukomunisti ni unyama. Siasa za kuimba kwaya , kucheza gwaride na kubeba juu picha za viongozi barabarani zilikuwa hazina maana yeyote bali ni utumwa tuu. Nchi za ulaya mashariki zilikuwa na mwezi mzima wa octoba kila mwaka kuimba kwaya za kuwasifisia viongozi walio madarakani na wale waliokufa! Pesa za kodi hazitumiki kujenga nchi bali kuimarisha chama! Ukifika Urrusi, viongozi wote wa kikomusti walikuwa na mashea makubwa katika makampuni makubwa ya ulaya magharibi na watoto wao walikuwa wanatanua sana na mabenz, BMW na ferrari lakini ukija nchini mwao wao hao hao wanawarubuni wananchi kuchukia ubepari! Kweli aliyeuwa ukomunisti hana dhambi kwa mungu!!!!