Ujinga ni tatizo kuu hapa Tanzania

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
13,226
26,048
Enzi za Mao, China ilikuwa nchi ya kikomunisisti iliyoamini katika Sera za Ukomunisti.

Pamoja na Ukomunisti wa China, Rais wa kwanza wa China, Mao aliamini kuwa ni lazima apeleke vijana nje ya China wakajifunze Dunia inaendaje na ikoje ili warudi kufanya mabadiliko China.

Moja ya vijana hao alikuwepo Den Xiapoing ambaye alikuja kuwa Rais wa China baada ya Mao. Den alipelekwa Ulaya na akajifunza sana namna uchumi wa Ulaya ulivyokuwa unaenda.

Alipokuja kurudi China, Den alianzisha mfumo wa Private Property na Uwekezaji wa Sekta binafsi katika mfumo wa Uchumi wa China. Kipindi chake ndo makampuni mengi ya Marekani yalienda kufungua viwanda na kufanya uwekezaji China.

Kwa wachina wengi walimuona Deng ni msaliti wa Mao kwa kuwa wengi walikuwa wanaamini kila kitu ni cha wachina na mwekezaji kutoka nje ni mwizi. Den aliwajibu haijalishi kama paka ni mweupe au ni mweusi ili mradi anakamata panya basi huyo anatufaa

Pamoja na wachina kupata shida kuelewa Sera za Den Xiapoing ila leo ndo wachina wanamsujudu kama The Father of Modern China.

Ukiacha China kuna nchi za Singapore na Umoja wa Falme za Kiarabu ambao Dubai ni nchi mojawapo za umoja huo.

Hizi nchi nazo miaka ya 1960 ilikuwa kama sisi! Ila watawala wao walipata akili kuwa kwa akili za kuwaza sisi ndo sisi hatutafika popote. Kupitia rasilimali ya mafuta Dubai walibadilisha Sera zao kuhamasisha uwekezaji wa sekta binafsi. Leo hii kila mtu Duniani anakwenda kutalii Dubai na si kwa sababu ya mafuta tu ila kutokana na namna ikivyojengwa , inavyopendeza na ilivyo na uchumi mkubwa na maendeleo makubwa.

Ukija Tanzania. Hapa ndo shida ilipo. Nchi hii ilianzishwa katika misingi ya kijamaa. Misingi hii iliwaaminisha watu kuwa kila kitu ni Serikali na Serikali ni kila kitu. Mfumo huu ambao unaamini katika state capture umedumaza akili za Watanzania wengi sana kiasi ambacho kuna Watanzania leo hawajifunzi hata dunia ikoje, inaenda wapi na itakuwa wapi miaka hata 50 mbele.

Akili hizi zinaamini kuwa Sera ya uwekezaji ni kuuza nchi, Uwekezaji ni uuzaji wa nchi. Sera hii imewafanya Watanzania kuwa nyuma sana. Nchi yetu kuwa nyuma sana, mifumo yetu ya huduma kuwa nyuma sana.

Leo hii Tanzania, unatoka Dar hadi Kigoma kwa masaa zaidi ya 15 kwenye treni ambayo muda wowote unaweza kuambiwa leo hakuna usafiri. Ndani ya hiyo treni vyoo vichafu, huduma ni mbovu ila mtanzania hana shida ili mradi tu inamilikiwa na Serikali

Leo hii nchi yetu ina bandari zinayoweza kuhudumia ipasavyo nchi hadi 8 zinazotuzunguka, ila meli zinakaa wiki 2 hadi 3 kushusha mizigo, wafanyabiashara wanapoteza mizigo yao, hakuna mapato makubwa nchi inaweza kupata na kufanya maendeleo makubwa ila watu wanaona sawa tu ili mradi iwe chini ya Serikali. Hawajali hata wakiambiwa meli zinakimbia zinaenda Bandari za nchi jirani ili mradi waone au wasikie Serikali ndo mmiliki. Huu ni ujinga uliotukuka sana.

Kibaya zaidi pamoja na ujinga huu wa Watanzania, nchi jirani zinazotuzunguka zinakimbia sana ili kukamata fursa za kiuchumi sisi tusiwe na kitu. Rwanda amejenga Bandari kavu kubwa sana ili mizigo ya Congo Mashariki ipite kwake . Bandari hii kawapa wawekezaji. Sasa Rwanda anajenga uwanja wa Ndege mkubwa zaidi Afrika Mashariki ambao utaendeshwa pia na Sekta binafsi.

Huku Kenya amejenga Bandari ya Lamu ambayo ataiendesha kwa sehemu kubwa kupitia sekta binafsi, Msumbiji kaomba vikosi vya Rwanda vilinde Bandari zake ili wawekezaji waweze kuwekeza na zifanye biashara. Hawa wakifanya haya Serikali ikichukua hatua kuboresha utendaji wa Bandari kuna watu wanaaza kusema nchi inauzwa.

Serikali ikiwasikiliiza hawa watu kuna hatari kubwa sana huko mbeleni nchi yetu kuja kuwa kituko cha mwisho zaidi kuliko hata sasa, kutokana na kusikiliza wajinga huku nchi ikitakuwa ikimbie iendane na mabadiliko ya Dunia ya sasa.

Kwa Dunia inavyokwenda sasa, Tanzania haipaswi kurudi nyuma tena! Ujinga usipewe tena nafasi Tanzania!
 
Ili utajirike ni lazima utoe kidogo na upate kingi zaidi. Sasa hii mikataba ya kutoa kingi upate kiduchu ni ya kuongeza umasikini.
Kwa maneno mengine ni lazima ukusanye mali kutoka nje uingize ndani na siyo kinyume chake.
Wachina na mataifa mengine yanakuja kuvuna mali zetu na kupeleka kwao (wao wanakuwa matajiri,sisi tunaendelea kuwa masikini).
Tatizo kubwa ni fikra za ubinafsishaji wa kidalali badala ya uzalishaji.
Lazima tufundishe watu wetu kuanzia wananchi hadi viongozi wa juu kabisa serikalini waondikane fikra za udalali.
Udalali hufanya utegemezi wa ujumla kwa mnunuzi, hivyo dalali Hana fikra mbadala.
Mikataba yote mibovu husainiwa kwa sababu ya fikra potofu, za kidalali na tegemezi kuwa hakuna uwezo wa ndani wa kuwekeza au kuzalisha kwa ufanisi.
Wataalamu wenye akili za kidalali hawawezi kufanya negotiations kwenye mikataba.
Wanaishia kuwa upande wa wageni ili wapate cha juu huku nchi ikifilisika.
 
Kuna kitu muhimu katika uzi wako umekiacha tena kwa makusudi.

China hawakukaribisha Wawekezaji tu bila kuangalia Maslahi yao. Kitu cha kwanza walisomesha vijana wao na kwa hiyo Wawekezaji walipoenda China kulikuwa na sharti la kuajiri vijana wao. Vijana walioajiriwa walipopata mitaji wakaanzisha viwanda vidogo vidogo vya vipuri na ikawa progressive mpaka kuweza kutengeneza mitambo mikubwa. Na Serikali Ilikuwa inadhaibiti kwa manufaa ya Wananchi wake

Kwa hiyo China walikaribisha Wawekezaji wakiwa na nia ya kupata mtaji, ujuzi, exposure na teknolojia na matokeo yake China kwa sasa Wamewapita Sana Hao Wawekezaji na Wanashindana nao huko Duniani kwa mauzo ya bidhaa na huduma.

Kuhusu Falme za Kiarabu nayo iko hivyo, pamoja na Biashara ya Mafuta, Wawekezaji wote wa kigeni lazima wawe na Washirika wazawa hata kama hao wazawa hawana mitaji inabidi wapewe hisa za mkopo. Hali hiyo imepelekea Nchi hizo kushamiri kiuchumi.

Haya sasa Njoo kwenye nchi yetu. Ni mkakati gani umewekwa wa kufanya Uwekezaji wa Wageni kumnufaisha Mtanzania mmoja mmoja au Taifa kwa ujumla wake?
 
Enzi za Mao, China ilikuwa nchi ya kikomunisisti iliyoamini katika Sera za Ukomunisti.

Pamoja na Ukomunisti wa China, Rais wa kwanza wa China, Mao aliamini kuwa ni lazima apeleke vijana nje ya China wakajifunze Dunia inaendaje na ikoje ili warudi kufanya mabadiliko China.

Moja ya vijana hao alikuwepo Den Xiapoing ambaye alikuja kuwa Rais wa China baada ya Mao. Den alipelekwa Ulaya na akajifunza sana namna uchumi wa Ulaya ulivyokuwa unaenda.

Alipokuja kurudi China, Den alianzisha mfumo wa Private Property na Uwekezaji wa Sekta binafsi katika mfumo wa Uchumi wa China. Kipindi chake ndo makampuni mengi ya Marekani yalienda kufungua viwanda na kufanya uwekezaji China.

Kwa wachina wengi walimuona Deng ni msaliti wa Mao kwa kuwa wengi walikuwa wanaamini kila kitu ni cha wachina na mwekezaji kutoka nje ni mwizi. Den aliwajibu haijalishi kama paka ni mweupe au ni mweusi ili mradi anakamata panya basi huyo anatufaa

Pamoja na wachina kupata shida kuelewa Sera za Den Xiapoing ila leo ndo wachina wanamsujudu kama The Father of Modern China.

Ukiacha China kuna nchi za Singapore na Umoja wa Falme za Kiarabu ambao Dubai ni nchi mojawapo za umoja huo.

Hizi nchi nazo miaka ya 1960 ilikuwa kama sisi! Ila watawala wao walipata akili kuwa kwa akili za kuwaza sisi ndo sisi hatutafika popote. Kupitia rasilimali ya mafuta Dubai walibadilisha Sera zao kuhamasisha uwekezaji wa sekta binafsi. Leo hii kila mtu Duniani anakwenda kutalii Dubai na si kwa sababu ya mafuta tu ila kutokana na namna ikivyojengwa , inavyopendeza na ilivyo na uchumi mkubwa na maendeleo makubwa.

Ukija Tanzania. Hapa ndo shida ilipo. Nchi hii ilianzishwa katika misingi ya kijamaa. Misingi hii iliwaaminisha watu kuwa kila kitu ni Serikali na Serikali ni kila kitu. Mfumo huu ambao unaamini katika state capture umedumaza akili za Watanzania wengi sana kiasi ambacho kuna Watanzania leo hawajifunzi hata dunia ikoje, inaenda wapi na itakuwa wapi miaka hata 50 mbele.

Akili hizi zinaamini kuwa Sera ya uwekezaji ni kuuza nchi, Uwekezaji ni uuzaji wa nchi. Sera hii imewafanya Watanzania kuwa nyuma sana. Nchi yetu kuwa nyuma sana, mifumo yetu ya huduma kuwa nyuma sana.

Leo hii Tanzania, unatoka Dar hadi Kigoma kwa masaa zaidi ya 15 kwenye treni ambayo muda wowote unaweza kuambiwa leo hakuna usafiri. Ndani ya hiyo treni vyoo vichafu, huduma ni mbovu ila mtanzania hana shida ili mradi tu inamilikiwa na Serikali

Leo hii nchi yetu ina bandari zinayoweza kuhudumia ipasavyo nchi hadi 8 zinazotuzunguka, ila meli zinakaa wiki 2 hadi 3 kushusha mizigo, wafanyabiashara wanapoteza mizigo yao, hakuna mapato makubwa nchi inaweza kupata na kufanya maendeleo makubwa ila watu wanaona sawa tu ili mradi iwe chini ya Serikali. Hawajali hata wakiambiwa meli zinakimbia zinaenda Bandari za nchi jirani ili mradi waone au wasikie Serikali ndo mmiliki. Huu ni ujinga uliotukuka sana.

Kibaya zaidi pamoja na ujinga huu wa Watanzania, nchi jirani zinazotuzunguka zinakimbia sana ili kukamata fursa za kiuchumi sisi tusiwe na kitu. Rwanda amejenga Bandari kavu kubwa sana ili mizigo ya Congo Mashariki ipite kwake . Bandari hii kawapa wawekezaji. Sasa Rwanda anajenga uwanja wa Ndege mkubwa zaidi Afrika Mashariki ambao utaendeshwa pia na Sekta binafsi.

Huku Kenya amejenga Bandari ya Lamu ambayo ataiendesha kwa sehemu kubwa kupitia sekta binafsi, Msumbiji kaomba vikosi vya Rwanda vilinde Bandari zake ili wawekezaji waweze kuwekeza na zifanye biashara. Hawa wakifanya haya Serikali ikichukua hatua kuboresha utendaji wa Bandari kuna watu wanaaza kusema nchi inauzwa.

Serikali ikiwasikiliiza hawa watu kuna hatari kubwa sana huko mbeleni nchi yetu kuja kuwa kituko cha mwisho zaidi kuliko hata sasa, kutokana na kusikiliza wajinga huku nchi ikitakuwa ikimbie iendane na mabadiliko ya Dunia ya sasa.

Kwa Dunia inavyokwenda sasa, Tanzania haipaswi kurudi nyuma tena! Ujinga usipewe tena nafasi Tanzania!
Upo sahihi uhodhi wa Dola Kwenye nyanja zote Tanzania ni tatizo.
Imezalisha ujinga wa kutofahamu tunakoenda.
Ndio maana sintofahamu kuhusu uwekezaji.
Bahati mbaya badala ya mawaziliano ya kimkakati serikali nayo inatumia propaganda
Tanzania tutachelewa sana Kwa sintofahamu hizi
 
Naunga mkono hoja,Kwa Nchi ilivyojaa wajinga na wachumia tumbo Serikali inatakiwa kuwa na msimamo thabiti.
 
Sina uhakika kama huyu mleta uzi mpaka sasa haelewi malalamiko ya muda mrefu ya wengi wanaopinga aina ya uwekezaji na mikataba inayokuwa inaingiwa au amejitoa tu ufahamu.
Kuna kitu muhimu katika uzi wako umekiacha tena kwa makusudi.

China hawakukaribisha Wawekezaji tu bila kuangalia Maslahi yao. Kitu cha kwanza walisomesha vijana wao na kwa hiyo Wawekezaji walipoenda China kulikuwa na sharti la kuajiri vijana wao. Vijana walioajiriwa walipopata mitaji wakaanzisha viwanda vidogo vidogo vya vipuri na ikawa progressive mpaka kuweza kutengeneza mitambo mikubwa. Na Serikali Ilikuwa inadhaibiti kwa manufaa ya Wananchi wake

Kwa hiyo China walikaribisha Wawekezaji wakiwa na nia ya kupata mtaji, ujuzi, exposure na teknolojia na matokeo yake China kwa sasa Wamewapita Sana Hao Wawekezaji na Wanashindana nao huko Duniani kwa mauzo ya bidhaa na huduma.

Kuhusu Falme za Kiarabu nayo iko hivyo, pamoja na Biashara ya Mafuta, Wawekezaji wote wa kigeni lazima wawe na Washirika wazawa hata kama hao wazawa hawana mitaji inabidi wapewe hisa za mkopo. Hali hiyo imepelekea Nchi hizo kushamiri kiuchumi.

Haya sasa Njoo kwenye nchi yetu. Ni mkakati gani umewekwa wa kufanya Uwekezaji wa Wageni kumnufaisha Mtanzania mmoja mmoja au Taifa kwa ujumla wake?
 
Sina uhakika kama huyu mleta uzi mpaka sasa haelewi malalamiko ya muda mrefu ya wengi wanaopinga aina ya uwekezaji na mikataba inayokuwa inaingiwa au amejitoa tu ufahamu.
 
Unachanganya mambo, Kampuni karibia zote kubwa za China ni state owned, hapa kwetu raisi wako anasema Serikali haifanyi biashara na kuuza Kampuni zetu zote cha ajabu zaidi anauzia Kampuni ambazo ni state owned huku akitukataza Serikali yetu kufanya biashara sasa kama Serikali kuendesha Kampuni ni haramu iweje auze Bandari zetu kwa foreign Governments?

Umetaja Singapore, nani ana own Bandari ya Singapore? Ni foreigners au Singoporean Government?
 
Kuna kitu muhimu katika uzi wako umekiacha tena kwa makusudi.

China hawakukaribisha Wawekezaji tu bila kuangalia Maslahi yao. Kitu cha kwanza walisomesha vijana wao na kwa hiyo Wawekezaji walipoenda China kulikuwa na sharti la kuajiri vijana wao. Vijana walioajiriwa walipopata mitaji wakaanzisha viwanda vidogo vidogo vya vipuri na ikawa progressive mpaka kuweza kutengeneza mitambo mikubwa. Na Serikali Ilikuwa inadhaibiti kwa manufaa ya Wananchi wake

Kwa hiyo China walikaribisha Wawekezaji wakiwa na nia ya kupata mtaji, ujuzi, exposure na teknolojia na matokeo yake China kwa sasa Wamewapita Sana Hao Wawekezaji na Wanashindana nao huko Duniani kwa mauzo ya bidhaa na huduma.

Kuhusu Falme za Kiarabu nayo iko hivyo, pamoja na Biashara ya Mafuta, Wawekezaji wote wa kigeni lazima wawe na Washirika wazawa hata kama hao wazawa hawana mitaji inabidi wapewe hisa za mkopo. Hali hiyo imepelekea Nchi hizo kushamiri kiuchumi.

Haya sasa Njoo kwenye nchi yetu. Ni mkakati gani umewekwa wa kufanya Uwekezaji wa Wageni kumnufaisha Mtanzania mmoja mmoja au Taifa kwa ujumla wake?
Tatizo tunachosema, kuhusu local content, hatukiamini, tunachokiamini hatukisemi. Kwanza tumekuzwa kisiasa kuamini tunaweza. Tutawezaje vitu ambavyo teknolojia na uzoefu hatunasharti tujifunze kwawatu Toka mataifa mengi. Lakini, ccm Ili ishinde uchaguzi inaaminisha walalahoi hmkwamba inawatimua wageni Kwa kazi ambazo hatuna ujuzi Wala uzoefu. Hila na udanganyifu wa kusudi. Tukitaka tuweze tufuate wanavyofanya duniani huko. New York imejengwa na wageni Haina maana wenyeji hawajajifunza na kuneemela
 
Enzi za Mao, China ilikuwa nchi ya kikomunisisti iliyoamini katika Sera za Ukomunisti.

Pamoja na Ukomunisti wa China, Rais wa kwanza wa China, Mao aliamini kuwa ni lazima apeleke vijana nje ya China wakajifunze Dunia inaendaje na ikoje ili warudi kufanya mabadiliko China.

Moja ya vijana hao alikuwepo Den Xiapoing ambaye alikuja kuwa Rais wa China baada ya Mao. Den alipelekwa Ulaya na akajifunza sana namna uchumi wa Ulaya ulivyokuwa unaenda.

Alipokuja kurudi China, Den alianzisha mfumo wa Private Property na Uwekezaji wa Sekta binafsi katika mfumo wa Uchumi wa China. Kipindi chake ndo makampuni mengi ya Marekani yalienda kufungua viwanda na kufanya uwekezaji China.

Kwa wachina wengi walimuona Deng ni msaliti wa Mao kwa kuwa wengi walikuwa wanaamini kila kitu ni cha wachina na mwekezaji kutoka nje ni mwizi. Den aliwajibu haijalishi kama paka ni mweupe au ni mweusi ili mradi anakamata panya basi huyo anatufaa

Pamoja na wachina kupata shida kuelewa Sera za Den Xiapoing ila leo ndo wachina wanamsujudu kama The Father of Modern China.

Ukiacha China kuna nchi za Singapore na Umoja wa Falme za Kiarabu ambao Dubai ni nchi mojawapo za umoja huo.

Hizi nchi nazo miaka ya 1960 ilikuwa kama sisi! Ila watawala wao walipata akili kuwa kwa akili za kuwaza sisi ndo sisi hatutafika popote. Kupitia rasilimali ya mafuta Dubai walibadilisha Sera zao kuhamasisha uwekezaji wa sekta binafsi. Leo hii kila mtu Duniani anakwenda kutalii Dubai na si kwa sababu ya mafuta tu ila kutokana na namna ikivyojengwa , inavyopendeza na ilivyo na uchumi mkubwa na maendeleo makubwa.

Ukija Tanzania. Hapa ndo shida ilipo. Nchi hii ilianzishwa katika misingi ya kijamaa. Misingi hii iliwaaminisha watu kuwa kila kitu ni Serikali na Serikali ni kila kitu. Mfumo huu ambao unaamini katika state capture umedumaza akili za Watanzania wengi sana kiasi ambacho kuna Watanzania leo hawajifunzi hata dunia ikoje, inaenda wapi na itakuwa wapi miaka hata 50 mbele.

Akili hizi zinaamini kuwa Sera ya uwekezaji ni kuuza nchi, Uwekezaji ni uuzaji wa nchi. Sera hii imewafanya Watanzania kuwa nyuma sana. Nchi yetu kuwa nyuma sana, mifumo yetu ya huduma kuwa nyuma sana.

Leo hii Tanzania, unatoka Dar hadi Kigoma kwa masaa zaidi ya 15 kwenye treni ambayo muda wowote unaweza kuambiwa leo hakuna usafiri. Ndani ya hiyo treni vyoo vichafu, huduma ni mbovu ila mtanzania hana shida ili mradi tu inamilikiwa na Serikali

Leo hii nchi yetu ina bandari zinayoweza kuhudumia ipasavyo nchi hadi 8 zinazotuzunguka, ila meli zinakaa wiki 2 hadi 3 kushusha mizigo, wafanyabiashara wanapoteza mizigo yao, hakuna mapato makubwa nchi inaweza kupata na kufanya maendeleo makubwa ila watu wanaona sawa tu ili mradi iwe chini ya Serikali. Hawajali hata wakiambiwa meli zinakimbia zinaenda Bandari za nchi jirani ili mradi waone au wasikie Serikali ndo mmiliki. Huu ni ujinga uliotukuka sana.

Kibaya zaidi pamoja na ujinga huu wa Watanzania, nchi jirani zinazotuzunguka zinakimbia sana ili kukamata fursa za kiuchumi sisi tusiwe na kitu. Rwanda amejenga Bandari kavu kubwa sana ili mizigo ya Congo Mashariki ipite kwake . Bandari hii kawapa wawekezaji. Sasa Rwanda anajenga uwanja wa Ndege mkubwa zaidi Afrika Mashariki ambao utaendeshwa pia na Sekta binafsi.

Huku Kenya amejenga Bandari ya Lamu ambayo ataiendesha kwa sehemu kubwa kupitia sekta binafsi, Msumbiji kaomba vikosi vya Rwanda vilinde Bandari zake ili wawekezaji waweze kuwekeza na zifanye biashara. Hawa wakifanya haya Serikali ikichukua hatua kuboresha utendaji wa Bandari kuna watu wanaaza kusema nchi inauzwa.

Serikali ikiwasikiliiza hawa watu kuna hatari kubwa sana huko mbeleni nchi yetu kuja kuwa kituko cha mwisho zaidi kuliko hata sasa, kutokana na kusikiliza wajinga huku nchi ikitakuwa ikimbie iendane na mabadiliko ya Dunia ya sasa.

Kwa Dunia inavyokwenda sasa, Tanzania haipaswi kurudi nyuma tena! Ujinga usipewe tena nafasi Tanzania!
Sawa, hatukatai uwekezaji, bali vipengele vyenye ukakasi wa kuuza nchi ndio hoja, tunaomba hoja hizo zijibiwe
 
Back
Top Bottom