UKO na nani HAPO?

52 hii maneno ya cacico imekaaje? Mi nadhani cacico aundiwe tume huru .
sitaki tume huru, namtaka jack zoka tu na timu yake wanichunguze, wakisaidiwa na kova lol! ila mkiona kimya mjue mwenzenu kucha, meno kushneyyyyy! mje pande za mabwepandeeeee huko ndiko wote tunaotetewa na zoka hupelekwa lol!
 
niko beach....Nassau hapa na nyonda wangu mtu chake....twala maisha....
Nachompendea shem wangu mtu chake ni mapozi yake tu basi. Mshiki Preta mboa umebahatika dada!

Picture1.jpg
 
Last edited by a moderator:
Samahani mkuu!! Si unajua mazoezi muhimu lakini mkuu

wallah leo nimejua kichwa chako sio kizuri, nimecheka mwenzio kwa sauti job, ukoje we lakini kha!
 
Basi nimekoma sitakuchekesha tena... nalog off kwa faida ya kibarua chako! Msalimie YM popote pale alipo.

akhaaa! msalimie mwenyewe, sitaki makombora mchana huu, kwanza mbona mi ndio unanione, mbona wakina BADILI TABIA na Yummy huwatumi???
 
Last edited by a moderator:
Niko kwenye shabby kuna jkaka hapa linanuka jasho, mpaka nahisi kutapika.
Wakaka jamani muwe mnaoga Na kubadili nguo, asubuhi yote hii.
Safari yangu imekuwa mbaya, loo
 
KHAAAAAAAAAAAAAAA, huyo mwanaume naye mzembe, aende jandoni upyaaaa wakamfunde, utaibiwaje mke bana??? kha! hii chi chat hii!
Si unajua kwenye mapenzi kila mtu na size yake? Sasa kama una injini ya bajaji unataka ushindane na PRADO, wasikuibie mchezo?

2.JPG
 
Niko kwenye shabby kuna jkaka hapa linanuka jasho, mpaka nahisi kutapika.
Wakaka jamani muwe mnaoga Na kubadili nguo, asubuhi yote hii.
Safari yangu imekuwa mbaya, loo
pole Remmy, mzima wewe lakini?? safari njema, ufike na kurudi salama inshallaah!
 
Last edited by a moderator:
Si unajua kwenye mapenzi kila mtu na size yake? Sasa kama una injini ya bajaji unataka ushindane na PRADO, wasikuibie mchezo?

2.JPG
khaaaaaaa! yaani hapo ni sawa na kuingiza nguruwe msikitini, mbona haiswii hiyo, lol!
 
Niko kwenye shabby kuna jkaka hapa linanuka jasho, mpaka nahisi kutapika.
Wakaka jamani muwe mnaoga Na kubadili nguo, asubuhi yote hii.
Safari yangu imekuwa mbaya, loo
Kamuogeshe, na wewe usisahau kupunguza huo msitu.

Hahahaha......... pole sana
attachment.php
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom