UKO na nani HAPO?

...hahahahahahahaha...nitake RADHI.. Asprin...
Nakutaka radhi shemeji langu la ukweli na mkeo dadangu Preta. Nakumbuka Harusi yenu mlitoka bomba!!

tisqvbc9lw6a.bmp
 
Last edited by a moderator:
Hivi kwenye cv yako kule mjengoni, kutongoza una masters, ama phd?
kwanza habari za utokako?
naona umeingia kama unasukuma pazia vile...
niko mwaka wa kwanza kutongoza degree yakwanza...
chuo unakijua...
kiko katikati ya jiji la daslamu.
 
Asante my wi!
Mie niko salama ila hii dhahama ilonikuta
Nakutakia ukaguzi mwema wa Erickb52!
Nani kakupa mamlaka ya kumbinafsisha my wifey material? Unajua tulikotoka na my cacico wangu? Tumetoka mbali jamani!

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Si afadhali hao wanagombea mpira? sasa huyu ndo anafanya nini sasa?

attachment.php
huyo kuna kitu anatafuta kimepotelea huko!!!hawa wenzetu hamnazo kweli...
babu umenikumbusha mjapani mmoja alikua anafundisha BAM basi ukifanya swali ubaoni ukalipata vizuri, anakupongeza kwa kushika maketio.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom