UKO na nani HAPO?

Mkubwa!
Niko mjengoni (Japokua mie si Mbunge but niko humu kikazi)

Sasa hawa waheshimiwa wenyewe wako zaidi ya 300 jumlisha walioko various galaries kukuorodheshea itakua shghl.

Utakua tayari nikupe Mob. No yangu unipigie nianze kukutajia kila Mbunge na jimbo analotoka. Nikimaliza hao tuhamie kwa wageni .
Worry not, i do!
 
Judgement, ungem-scan-ia ile karatasi wanayosaini malipo ya makalio ajionee mwenyewe. Ukipata na list ya wageni wa spika ili ajue umekutana na wake na waume wa wabunge gani.

Mie niko na kuku, nawawekea chakula.
 
Last edited by a moderator:
Judgement, ungem-scan-ia ile karatasi wanayosaini malipo ya makalio ajionee mwenyewe. Ukipata na list ya wageni wa spika ili ajue umekutana na wake na waume wa wabunge gani.

Mie niko na kuku, nawawekea chakula.

Nimeku'read vilivyo King'asti, hata hivyo niende out of mada kidogo , nakuuliza mbona nw dayz umenigaya kiivo? Even Hi ? Nothin' !
Awali hukua hivyo! Mpendwa wewe.
Hii roho ya wanaopeleka watu Magwepande umeitohoa wapi ?
 
Last edited by a moderator:
Mimi niko na Dereva nikielekea Mahakamani. Wewe je?
Mie niko na my honey cacico tunajikumbushia tulivyokuwa tunaenda shule....... Mapenzi yatu yalianzia zamani jamani... Hapo kina Yummy na BADILI TABIA walikuwa bado hatujawaoa.

attachment.php
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom