ukiweza kumudu mawazo yako, na ukautuliza MWILI wako, hakika utakuwa sehemu ambayo watu wengine watakuita mwenye ku huisha

Magical power

JF-Expert Member
Sep 27, 2022
356
1,605
ukiweza kumudu mawazo yako, na ukautuliza MWILI wako, hakika utakuwa sehemu ambayo watu wengine watakuita mwenye ku huisha. maana watajibariki katika wewe wote wanao teseka katika kifungo cha ubinadamu. ndiyo maana yoga ni muhimu sana katika kuweka mambo sawa!

If you can handle your thoughts, and calm down your BODY, you will definitely be a place where other people will call you the best. because they will bless themselves in you all who suffer in the prison of humanity. that's why yoga is so important in keeping things in balance!
 

Attachments

  • 1702679912570.jpg
    1702679912570.jpg
    17.7 KB · Views: 11
Back
Top Bottom