Ukiwakuta UVCCM wa zamani wanakwambia hata Kawawa alikuwa CHAWA wa Nyerere hivyo kuwa Chawa siyo dhambi!

Kawawa hawajawahi kuwa Chawa, in fact neno chawa wakati huo lilikuwa linaitwa KUPE, wakati huo watu hawakutaka kuitwa KUPE, maana kupe ni mdudu anayeganda na kunyonya damu ya mnyama ama binadamu hafanyi kazi..

USIWE KUPE fanya kazi hii ndiyo ilikuwa slogani ya TANU wakati huo, Sasa ukiangalia sana hii michawa ni mijitu anayoishi wa kusifia watu wenye uwezo ili ipate ugali.
 
Waswahili Wana mambo mengi aisee yaani mtu anajiapiza Kabisa Eti Kawawa alikuwa CHAWA wa baba wa taifa Mwalimu Nyerere

Binafsi nakataa kwa sababu Kawawa ni mmoja wa Wafadhili wa TANU wakati wa kudai Uhuru

Mlale Unono!
Ila hapakuwa na vyama vya machawa?
 
Waswahili Wana mambo mengi aisee yaani mtu anajiapiza Kabisa Eti Kawawa alikuwa CHAWA wa baba wa taifa Mwalimu Nyerere

Binafsi nakataa kwa sababu Kawawa ni mmoja wa Wafadhili wa TANU wakati wa kudai Uhuru

Mlale Unono!

Ikiwa unalipwa na kutumia rasilimali za nchi kutetea nchi, wewe unaandika mambo yasio na tija kama haya na kuaminisha jamii upinzani ni uhaini, na kawawa wako. Waache tu waarabu wachukue nchi..

Wewe upo SalamA japo kwa sasa, ishu ni wanao na wajukuu zako
 
..Kwanini Majaliwa sio chawa wa Samia?

..Mawaziri Wakuu kama Kawawa, Sokoine, walikuwa wanamkinga Raisi Mwalimu Nyerere asilaumiwe.

..Majaliwa amejificha na kumuacha Samia akishambuliwa kwa lawama na kubezwa.
 
Kawawa yeye mbona alikuwa ni mfanyakazi na alianzisha chama cha wafanyakazi 1955 TFL mwaka 1972 aliteuliwa kuwa waziri mkuu lakini alikutana na Nyerere shuleni Tabora boys
 
Ikiwa unalipwa na kutumia rasilimali za nchi kutetea nchi, wewe unaandika mambo yasio na tija kama haya na kuaminisha jamii upinzani ni uhaini, na kawawa wako. Waache tu waarabu wachukue nchi..

Wewe upo SalamA japo kwa sasa, ishu ni wanao na wajukuu zako

The country lacks LEADERSHIP ; Wako hapo kuiba na kuficha mali DUBAI basi, hawajali juu ya maisha ya baadae ya vizazi vijavyo!
 
Waswahili Wana mambo mengi aisee yaani mtu anajiapiza Kabisa Eti Kawawa alikuwa CHAWA wa baba wa taifa Mwalimu Nyerere

Binafsi nakataa kwa sababu Kawawa ni mmoja wa Wafadhili wa TANU wakati wa kudai Uhuru

Mlale Unono!
Kwa hiyo unaunga mkono tabia ya uchawa?
 
Back
Top Bottom