Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,896
Hii ni hatua safi. NEC wametaarifiwa, wasipochukua hata watajibu haya mbele ya safari. Ni vema taarifa hizi kukawa na english version for world consumption with a copy to Fatou Bnsuda, ICC! , UNSC, EU and the like
Tunafanyia kazi asanteHii ni hatua safi. NEC wametaarifiwa, wasipochukua hata watajibu haya mbee ya safari. Ni vema taarifa hizi kukawa na english version for world consumption with a copy to Fatou Bnsuda, ICC! , UNSC, EU and the like
HaitakubalikaFigisu zishaanza. Tukizubaa tumepigwa.
WanajitekenyaKwenye ratiba ya shughuli za uchaguzi mbona ipo? Kwanini hawakupinga ilipotoka ratiba mwezi wa nane,? Maana kwenye ratiba inaonesha tar 13 ni vyama kupewa orodha ya vituo, tar 15 vyama kupeleka orodha ya mawakala na kati ya tar 10-17 kupata wasimamizi wa vituo. Tar 21 kuapisha mawakala, tar 24 kuapisha makarani na kuwapa semina, tar 25&26 semina na kuwaapisha wasiamamizi wa vituo, tar 27 kukabidhi vifaa vya uchaguzi kwa wasimamizi wa vituo.