Ukiukaji wa Sheria za Usimamizi wa Uchaguzi zinazofanywa na wasimamizi ni chanzo cha vurugu

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
IMG_20201014_165509.jpg
IMG_20201014_165515.jpg
 
Hii ni hatua safi. NEC wametaarifiwa, wasipochukua hata watajibu haya mbee ya safari. Ni vema taarifa hizi kukawa na english version for world consumption with a copy to Fatou Bnsuda, ICC! , UNSC, EU and the like
Tunafanyia kazi asante
 
Kwenye ratiba ya shughuli za uchaguzi mbona ipo? Kwanini hawakupinga ilipotoka ratiba mwezi wa nane? Maana kwenye ratiba inaonesha tar 13 ni vyama kupewa orodha ya vituo, tar 15 vyama kupeleka orodha ya mawakala na kati ya tar 10-17 kupata wasimamizi wa vituo. Tar 21 kuapisha mawakala, tar 24 kuapisha makarani na kuwapa semina, tar 25&26 semina na kuwaapisha wasiamamizi wa vituo, tar 27 kukabidhi vifaa vya uchaguzi kwa wasimamizi wa vituo.
 
Kwenye ratiba ya shughuli za uchaguzi mbona ipo? Kwanini hawakupinga ilipotoka ratiba mwezi wa nane,? Maana kwenye ratiba inaonesha tar 13 ni vyama kupewa orodha ya vituo, tar 15 vyama kupeleka orodha ya mawakala na kati ya tar 10-17 kupata wasimamizi wa vituo. Tar 21 kuapisha mawakala, tar 24 kuapisha makarani na kuwapa semina, tar 25&26 semina na kuwaapisha wasiamamizi wa vituo, tar 27 kukabidhi vifaa vya uchaguzi kwa wasimamizi wa vituo.
Wanajitekenya
 
Back
Top Bottom