Ukitaka kusaidiwa kazi JF jifanye mwanamke

alidhani nitamshobokea avune mapene mfyuuu
Wanaume wa siku hizi ndivyo walivyo hata ukionana naye live ukamchekea ni kosa! mwingine bila haya anakupigia eti naomba unikopeshe laki moja nina hela yangu mahali ikitoka nitakurudishia, mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
wanajua tuna huruma .

wanapenda vya bure;) tena anakupiga mzinga hata hamjafikia hatua za kuwa wapenzi wa ukweli looooo!
 
Wanaume wa siku hizi ndivyo walivyo hata ukionana naye live ukamchekea ni kosa! mwingine bila haya anakupigia eti naomba unikopeshe laki moja nina hela yangu mahali ikitoka nitakurudishia, mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

haaa, hivi kumbe wewe ni ke?

Mmh majina ya JF bwana, huwa hayatabiriki.

Ukute hata huyu Miss Natafuta ni kidume mwenzagu. Lol

-Kaveli-
 
Ni kweli kabisa,hii ID yng haieleweki.
Kuna kipindi niliwasihi sn wadau humu wanisaidie nipate kibarua kutokana na nilichokisomea,daa walidhani me KE.Nakumbuka kuna Jamaa aliniPM no zake tena kwa uhakika kuwa post ya kazi ipo,masikini nilipomtafuta akasikia ni dume alikata simu na hakupoke tena.
Wewe Jamaa uliyekuwa unafanya kazi ofisi ya Mkuu wa mkoa Tabora Mungu akusaidie daima,wala sina kinyongo nawe.Ni tabia tu ambayo yakupasa kujisahihisha.
Karibu kwangu ikimpendeza Mungu.
Ila nakumbuka nilikuwa ktk hali tete sana.
Alikuomba hela au kukuibia jamaa wa Tabora?
 
Nilitumia sana janja hiyo kupata credit za bure, kwenye mtandao wa mig33 enzi hizo, naweka Jina la kike mpaka avatar, juzi juzi hapa nilianzisha account ya insta ya kike picha mpaka Jina, basi natongozwa mpaka basi, sijataka tu kutapeli mipambavu ila imejaa kunitumia msg Kila Muda, badilikeni watoto wa kiume mmekuwa kama mbwa koko vile
 
Back
Top Bottom