Ukitaka kusaidiwa kazi JF jifanye mwanamke

ndivyo ulivyoumbwa na wenzako. sisi wanaume wa ajabu sana unaacha msaidia mwanaume mwenzako ana hustle unakuja msaidia mdada mwingine unakuta anaishi kwa wazaz salary anaenda kununulia simu kali tu na viwalo. mwanaume mwenzio ana family anahitaji pesa ya kuendesha family. kisa mwanaume mwenzio hana cha kukulipa. kweli nakwambia hapa unakuwa umelipia kadi ya kupandia mwendo kasi kwenda motoni.

tusaidiane jaman. haya ni mapito leo kwako kesho kwa mwenzako. tusadiane na katika hili tusiangalie malipo. hamna msaada mkubwa dunia hii kama kumsaidia mtu kazi. lakini pia wanaume wenzangu siyo ukipata kazi sasa wewe unalala mbele na mabinti wa shetani.michepuko. achana nao hao kaa isaidie familia yako. mi nakusaidia kazi then unaenda tangaza ufalme bar...hili nalo linaumiza sana.of course sikupangii matumizi ya pesa zako.lakini tuoneane huruma.

Jamani nimesoma post zenu nyingi hadi sasa naona wote mnakubaliana na mleta uzi,hata mimi nakubaliana naye ila tukubali kwamba hatuwezi kupigana vita dhidi ya Asili (To fight against the nature).Ndivyo tulivyoumbwa.
 
Nyie wanaume na mie mnisaidie hapahapa ila sitaki pm

Hivi kuna wanawake (wenye uwezo) pia ambao wana moyo wa kusaidia wanaume kupata kazi? kama ilivyo wanaume wanavyowasaidia wanawake kwa utashi mkubwa.

Nadhani ukiulizia humu ajitokeze mwanaume yeyote ambaye alisaidiwa by a woman kupata kazi, inawezekana asipatikane hata mmoja!

-Kaveli-
 
Jamani nimesoma post zenu nyingi hadi sasa naona wote mnakubaliana na mleta uzi,hata mimi nakubaliana naye ila tukubali kwamba hatuwezi kupigana vita dhidi ya Asili (To fight against the nature).Ndivyo tulivyoumbwa.
Au Sio ulivoandika hii post umejiskia freshiii kabisa
 
Hivi kuna wanawake (wenye uwezo) pia ambao wana moyo wa kusaidia wanaume kupata kazi? kama ilivyo wanaume wanavyowasaidia wanawake kwa utashi mkubwa.

Nadhani ukiulizia humu ajitokeze mwanaume yeyote ambaye alisaidiwa by a woman kupata kazi, inawezekana asipatikane hata mmoja!

-Kaveli-
Haahaa watakuwepo mkuu
Unajua opposite.... haina shida kabisa!
 
Haahaa watakuwepo mkuu
Unajua opposite.... haina shida kabisa!

hahahaa sawa mkuu, yawezekana.

Basi namie naweka order kwako mapemaaaa, Mungu akikujaalia ukatusua, basi namie usisahau kunisaidia kazi or kuni-link mahala as per your capacity.

Najua my requested is hereby instantly granted coz Kaveli na Chrsitine are opposite. LOL

-Kaveli-
 
Hivi kuna wanawake (wenye uwezo) pia ambao wana moyo wa kusaidia wanaume kupata kazi? kama ilivyo wanaume wanavyowasaidia wanawake kwa utashi mkubwa.

Nadhani ukiulizia humu ajitokeze mwanaume yeyote ambaye alisaidiwa by a woman kupata kazi, inawezekana asipatikane hata mmoja!

-Kaveli-
Mimi nimesaidiwa na mdada mmoja Kupata kazi
 
Back
Top Bottom