HORSE POWER
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 2,077
- 1,392
Hiyo ndio Tz.Wajinga ndio waliwao
Huwa namshangaa sana kiongozi anayewashauri watu wajiajiri!
Kujiajiri Tanzania inabidi kwanza ujitoe ufahamu kabla ya kupata faida!
Ebu fikilia haya malipo ya serikali yalivyo hayana uhalisia!
Yapo mengi sana wafanyabiashara tunadhulumiwa na selikali kuna wakati natamani katiba iseme wazi kabisa! KIONGOZI YOYOTE LAZIMA AWE MFANYABIASHARA Mwenye biashara ya jina lake iliyofanya kazi angalau miaka 10 na kuendelea! Labda itasaidia kutuelewa tunavyoumia wafanyabiashara.
- Unatafta wazo la biashara,mtaji na fursa lakini TRA hawanaga grace period kwa wafanyabiashara wadogo kama ilivyo kwa uwekezaji mkubwa
- TRA hawana muda wa kufikilia TIN zenye msamaha wa kodi kwa wafanya biashara wanaoanza!
- Malipo ya pango la biashara lazima mfanyabiashara ukalipie 10% ...wakati aliyetakiwa kutoa hiyo ni mwenye nyumba ulipo panga wewe! Lakini kwasababu mfanyabiashara unashida wanakubana wewe!
- Halmashauri na manispaa pasipo kukupa msaada wowote, ukifuata leseni wanakutoza pesa kuanzia elf 80 hadi laki tano kulingana na biashara yako! Tena kibaya zaidi unawafuata ofisini kwao ukapange foleni hata juisi ya kufuta jasho la nauli kwa kuwapelekea pesa ofisini hawakupi, sasa ebu jiuloze pesa zote hizo manispaa wanachukua kwa mchango UPI waliompa mfanyabiashara kama siyo dhulma?
- Malipo ya leseni yanaumiza sana kwasababu kwanza hawajishughulishi hata kukupa elimu ya biashara, hawakutaftii wateja hawakupi ofa yoyote zaidi ya kukukamua tena wakiwa ofisini kwao.
- Ukifanikiwa kufungua matawi ya biashara yako, ajabu kila manispaa utaombwa kulipia mfano! Kama leseni ni tsh 350000 ukiweka tawi kila wilaya utatakiwa kuilipa pesa hiyo kila wilaya utazani ni nchi tofauti wakati uko Tanzania moja
- Yote tisa kote pesa wamechukua pasipo hata grace period, ukitaka kuweka bango la kujitangaza biashara yako watakuja Kudai ULIPIE BANGO Lako la kujitangaza, wanakuchaji kwa square meter.
Manispaa wanapata pesa za bure sana na sielewi kwanini LESENI ZAO zisiwe bure au wapunguze anagalau bei ya juu kabisa kwa duka,yard au kampuni isizidi lakimoja!
Na ikiwrzekana makao makuu ya ofisini ilipo ndipo inatakiwa kulipiwa leseni na huko kwenye matawi ipelekwe nakala au walipie kwa nusu bei!
View attachment 2330892
Yaani hapo hujazungumzia rushwa katika mchakato mzima wa usajili kutokana na urasimu uliopo katika ofisi hizoHiyo ndio Tz.Wajinga ndio waliwao
Ongezeni na tozo yaHuwa namshangaa sana kiongozi anayewashauri watu wajiajiri!
Kujiajiri Tanzania inabidi kwanza ujitoe ufahamu kabla ya kupata faida!
Ebu fikilia haya malipo ya serikali yalivyo hayana uhalisia!
Yapo mengi sana wafanyabiashara tunadhulumiwa na selikali kuna wakati natamani katiba iseme wazi kabisa! KIONGOZI YOYOTE LAZIMA AWE MFANYABIASHARA Mwenye biashara ya jina lake iliyofanya kazi angalau miaka 10 na kuendelea! Labda itasaidia kutuelewa tunavyoumia wafanyabiashara.
- Unatafta wazo la biashara,mtaji na fursa lakini TRA hawanaga grace period kwa wafanyabiashara wadogo kama ilivyo kwa uwekezaji mkubwa
- TRA hawana muda wa kufikilia TIN zenye msamaha wa kodi kwa wafanya biashara wanaoanza!
- Malipo ya pango la biashara lazima mfanyabiashara ukalipie 10% ...wakati aliyetakiwa kutoa hiyo ni mwenye nyumba ulipo panga wewe! Lakini kwasababu mfanyabiashara unashida wanakubana wewe!
- Halmashauri na manispaa pasipo kukupa msaada wowote, ukifuata leseni wanakutoza pesa kuanzia elf 80 hadi laki tano kulingana na biashara yako! Tena kibaya zaidi unawafuata ofisini kwao ukapange foleni hata juisi ya kufuta jasho la nauli kwa kuwapelekea pesa ofisini hawakupi, sasa ebu jiuloze pesa zote hizo manispaa wanachukua kwa mchango UPI waliompa mfanyabiashara kama siyo dhulma?
- Malipo ya leseni yanaumiza sana kwasababu kwanza hawajishughulishi hata kukupa elimu ya biashara, hawakutaftii wateja hawakupi ofa yoyote zaidi ya kukukamua tena wakiwa ofisini kwao.
- Ukifanikiwa kufungua matawi ya biashara yako, ajabu kila manispaa utaombwa kulipia mfano! Kama leseni ni tsh 350000 ukiweka tawi kila wilaya utatakiwa kuilipa pesa hiyo kila wilaya utazani ni nchi tofauti wakati uko Tanzania moja
- Yote tisa kote pesa wamechukua pasipo hata grace period, ukitaka kuweka bango la kujitangaza biashara yako watakuja Kudai ULIPIE BANGO Lako la kujitangaza, wanakuchaji kwa square meter.
Manispaa wanapata pesa za bure sana na sielewi kwanini LESENI ZAO zisiwe bure au wapunguze anagalau bei ya juu kabisa kwa duka,yard au kampuni isizidi lakimoja!
Na ikiwrzekana makao makuu ya ofisini ilipo ndipo inatakiwa kulipiwa leseni na huko kwenye matawi ipelekwe nakala au walipie kwa nusu bei!
View attachment 2330892
YaaniOngezeni na tozo ya
- Pumzi
- Kiu ya maji
- Choo kubwa na ndogo
Inakatisha tamaa sanaYaani hapo hujazungumzia rushwa katika mchakato mzima wa usajili kutokana na urasimu uliopo katika ofisi hizo
Ukiwa umeajiriwa na unafanya biashara ni ngumu sana kuona changamoto zilizoko kwenye biashara maana wewe una backup ya hiyo ajira yako, sasa acha kazi, ujiajiri, uwe na familia ya watu watano hivi wanaokutegemea ndiyo utajua anachosema mtoa mada.Lipa Kodi kwa manufaa na maendeleo ya nchi yako, Mimi hapa Ni mtumishi Kodi yangu kwa mwezi Ni shilingi 200,000/= bado nina biashara yangu ambayo leseni nalipia sh 150,000/= wakati huo tra ninalipa 50,000/ ,yote haya Mimi Naona Ni sawa kwani tunapambania maendeleo ya nchi yetu.
Tatizo watanzania tumezoea lelemama, hata mabepari yanasema, no free lunch in capitalist system!!
Tukubali tukatae Kodi lazima ilipwe!!
Kwa point hizi zatosha kuwa ni Sera za chama cha siasa.Huwa namshangaa sana kiongozi anayewashauri watu wajiajiri!
Kujiajiri Tanzania inabidi kwanza ujitoe ufahamu kabla ya kupata faida!
Ebu fikilia haya malipo ya serikali yalivyo hayana uhalisia!
Yapo mengi sana wafanyabiashara tunadhulumiwa na selikali kuna wakati natamani katiba iseme wazi kabisa! KIONGOZI YOYOTE LAZIMA AWE MFANYABIASHARA Mwenye biashara ya jina lake iliyofanya kazi angalau miaka 10 na kuendelea! Labda itasaidia kutuelewa tunavyoumia wafanyabiashara.
- Unatafta wazo la biashara,mtaji na fursa lakini TRA hawanaga grace period kwa wafanyabiashara wadogo kama ilivyo kwa uwekezaji mkubwa
- TRA hawana muda wa kufikilia TIN zenye msamaha wa kodi kwa wafanya biashara wanaoanza!
- Malipo ya pango la biashara lazima mfanyabiashara ukalipie 10% ...wakati aliyetakiwa kutoa hiyo ni mwenye nyumba ulipo panga wewe! Lakini kwasababu mfanyabiashara unashida wanakubana wewe!
- Halmashauri na manispaa pasipo kukupa msaada wowote, ukifuata leseni wanakutoza pesa kuanzia elf 80 hadi laki tano kulingana na biashara yako! Tena kibaya zaidi unawafuata ofisini kwao ukapange foleni hata juisi ya kufuta jasho la nauli kwa kuwapelekea pesa ofisini hawakupi, sasa ebu jiuloze pesa zote hizo manispaa wanachukua kwa mchango UPI waliompa mfanyabiashara kama siyo dhulma?
- Malipo ya leseni yanaumiza sana kwasababu kwanza hawajishughulishi hata kukupa elimu ya biashara, hawakutaftii wateja hawakupi ofa yoyote zaidi ya kukukamua tena wakiwa ofisini kwao.
- Ukifanikiwa kufungua matawi ya biashara yako, ajabu kila manispaa utaombwa kulipia mfano! Kama leseni ni tsh 350000 ukiweka tawi kila wilaya utatakiwa kuilipa pesa hiyo kila wilaya utazani ni nchi tofauti wakati uko Tanzania moja
- Yote tisa kote pesa wamechukua pasipo hata grace period, ukitaka kuweka bango la kujitangaza biashara yako watakuja Kudai ULIPIE BANGO Lako la kujitangaza, wanakuchaji kwa square meter.
Manispaa wanapata pesa za bure sana na sielewi kwanini LESENI ZAO zisiwe bure au wapunguze anagalau bei ya juu kabisa kwa duka,yard au kampuni isizidi lakimoja!
Na ikiwrzekana makao makuu ya ofisini ilipo ndipo inatakiwa kulipiwa leseni na huko kwenye matawi ipelekwe nakala au walipie kwa nusu bei!
View attachment 2330892
Nafikilia siku nitaingia kwenye siasa naona kabisa watu hawatendewi hakiKwa point hizi zatosha kuwa ni Sera za chama cha siasa.
Unasuburi mini kuamzisha iwapo umeshaona suluhisho kwa kundi hili LA wafanya biashara.
Soma hii ripoti kwanza 👇Huwa namshangaa sana kiongozi anayewashauri watu wajiajiri!
Kujiajiri Tanzania inabidi kwanza ujitoe ufahamu kabla ya kupata faida!
Ebu fikilia haya malipo ya serikali yalivyo hayana uhalisia!
Yapo mengi sana wafanyabiashara tunadhulumiwa na selikali kuna wakati natamani katiba iseme wazi kabisa! KIONGOZI YOYOTE LAZIMA AWE MFANYABIASHARA Mwenye biashara ya jina lake iliyofanya kazi angalau miaka 10 na kuendelea! Labda itasaidia kutuelewa tunavyoumia wafanyabiashara.
- Unatafta wazo la biashara,mtaji na fursa lakini TRA hawanaga grace period kwa wafanyabiashara wadogo kama ilivyo kwa uwekezaji mkubwa
- TRA hawana muda wa kufikilia TIN zenye msamaha wa kodi kwa wafanya biashara wanaoanza!
- Malipo ya pango la biashara lazima mfanyabiashara ukalipie 10% ...wakati aliyetakiwa kutoa hiyo ni mwenye nyumba ulipo panga wewe! Lakini kwasababu mfanyabiashara unashida wanakubana wewe!
- Halmashauri na manispaa pasipo kukupa msaada wowote, ukifuata leseni wanakutoza pesa kuanzia elf 80 hadi laki tano kulingana na biashara yako! Tena kibaya zaidi unawafuata ofisini kwao ukapange foleni hata juisi ya kufuta jasho la nauli kwa kuwapelekea pesa ofisini hawakupi, sasa ebu jiuloze pesa zote hizo manispaa wanachukua kwa mchango UPI waliompa mfanyabiashara kama siyo dhulma?
- Malipo ya leseni yanaumiza sana kwasababu kwanza hawajishughulishi hata kukupa elimu ya biashara, hawakutaftii wateja hawakupi ofa yoyote zaidi ya kukukamua tena wakiwa ofisini kwao.
- Ukifanikiwa kufungua matawi ya biashara yako, ajabu kila manispaa utaombwa kulipia mfano! Kama leseni ni tsh 350000 ukiweka tawi kila wilaya utatakiwa kuilipa pesa hiyo kila wilaya utazani ni nchi tofauti wakati uko Tanzania moja
- Yote tisa kote pesa wamechukua pasipo hata grace period, ukitaka kuweka bango la kujitangaza biashara yako watakuja Kudai ULIPIE BANGO Lako la kujitangaza, wanakuchaji kwa square meter.
Manispaa wanapata pesa za bure sana na sielewi kwanini LESENI ZAO zisiwe bure au wapunguze anagalau bei ya juu kabisa kwa duka,yard au kampuni isizidi lakimoja!
Na ikiwrzekana makao makuu ya ofisini ilipo ndipo inatakiwa kulipiwa leseni na huko kwenye matawi ipelekwe nakala au walipie kwa nusu bei!
View attachment 2330892
SawaSoma hii ripoti kwanza 👇
Unakwepaje leseni wakati kila mahali wanahitaji uambatanishe leseni ya manispaaNikupe mbinu za kukwepa Kodi mkuu?
Yani hio inatakiwa ije kama kodi inayojitegemea😂Hivi kila line ya simu wakiitoza 1000 kwa mwezi si itakuwa vizuri sana ili waondoe kodi sumbufu.
Zipo nchi kumiliki line sio kitu cha mchezo mchezo, wafunge macho waanzishe hili.
Almost 40ml.ppls wanamiliki line × 1000/- 40, 000, 000,000/-p/m, gains, na waondoe kodi sumbufu za majumba ya wastaafu.
Je mtoa huduma halipi Kodi nyingine as well as cost za biashara ?, Je Wakala Hakatwi kila Mwezi Kodi ya Mapato kwenye kila faida yake ?
Line inalipiwa pia na mtoa huduma kila akisajili line kuna pesa analipa ndio maana wanazi-recycle mtu akifa..., kuongezea cost kwa wateja wao huenda ikaback-fire kwa line zinazofanya kazi kupungua kwa watu kuzitelekeza line zao, imagine mtu hajaweka vocha miezi mitano akija kuweka jero inasoma -4500/=Hivi kila line ya simu wakiitoza 1000 kwa mwezi si itakuwa vizuri sana ili waondoe kodi sumbufu.
Hizo nchi maisha yao yapo vipi ? Kuna nchi watu wanakatakana mapanga je na sisi tuchomane visu ? By the way unajua kila ukinunua talk time kuna VAT n.k. ambayo huenda mtandao wako unai-absorb ?Zipo nchi kumiliki line sio kitu cha mchezo mchezo, wafunge macho waanzishe hili.
Waastafu hawalipi kodi ya majengo kama sio ya biashara au wanakaa wenyeweAlmost 40ml.ppls wanamiliki line × 1000/- 40, 000, 000,000/-p/m, gains, na waondoe kodi sumbufu za majumba ya wastaafu.
Line inalipiwa pia na mtoa huduma kila akisajili line kuna pesa analipa ndio maana wanazi-recycle mtu akifa..., kuongezea cost kwa wateja wao huenda ikaback-fire kwa line zinazofanya kazi kupungua kwa watu kuzitelekeza line zao, imagine mtu hajaweka vocha miezi mitano akija kuweka jero inasoma -4500/=
Hizo nchi maisha yao yapo vipi ? Kuna nchi watu wanakatakana mapanga je na sisi tuchomane visu ? By the way unajua kila ukinunua talk time kuna VAT n.k. ambayo huenda mtandao wako unai-absorb ?
Waastafu hawalipi kodi ya majengo kama sio ya biashara au wanakaa wenyewe
KabisaJe mtoa huduma halipi Kodi nyingine as well as cost za biashara ?, Je Wakala Hakatwi kila Mwezi Kodi ya Mapato kwenye kila faida yake ?
These People are Insulting our Intelligence....