Ukisikia mguu wa bia ndio kama huu

MGUU.JPG


Huu ukiiupandisha juu ni noma

Duh! mbona hizo kucha zinatisha hivyo? huo sio mguu wa bia! najua umevutiwa na hicho kikuku tu!
 
Rihanna ndiyo ana guu la Bia. Yaani kutoka kwenye Unyayo, tayari ni MNENE..... huo wako ni Kiazi hicho. Rihanna huoni kiazi kwa sababu tangu mwanzo ni MNENE. Ndiyo maana mwanzo alikuwa akiuficha kwenye picha na Video.

rihanna-leg-tattoo-falcon.jpg
 
Aah!!
Tatizo ni hizi bia za kizazi kipya!!!?
Mguu wa bia enzi za Tanu na ASP!
Sio huo au Mkuu unamaanisha ukisha lewa unaona huo ndo wa bia,?..!
Huo ni wa kawaida kama ni bia hizi zisizo na viwango!
Mguu wa Bia ukikutano nao unasahau njia uendayo na unahairisha mambo yako yote na kutekewa nao!
Huo hata sileweshwi nao hata nipangiwe Deport ya TBL!!!.
 
Back
Top Bottom