Ukisikia mguu wa bia ndio kama huu

na hili ndio tumbo la bia!!!

avatar28892_1.gif

mh,una mambo wewe!!
 
mbona mnaharibu maana halisi ya mguu wa bia,
sisi tuliozaliwa enzi za titanic mguu kama huu tuliuita mguu kigimbi,kimbunga au kiazi sasa vijana wa leo eti huu ndo mnauita wa bia.
mguu wa bia unakua umejaa kuanzia juu hadi chini yaani ukiweka pimamaji inapinda kidogo hapo chin lkn huu hebu imagine ukiupima na pimamaji hicho kigimbi hapo juu.
hebu fuata hii link ukajionee mguu unaofanana na chupa ya bia.https://www.jamiiforums.com/jamii-p...i-wewe-kimekuvutia-nini.html?highlight=:love:
sio wangu lkn.

Ukijaa juu hadi chini si unakuwa mguu tende jamani, hapo pia mvuto unakuwa wa mashaka
 
Mguu sio wa bia, wa kawaida kabisa tena kigimbi. Acha kutuchanginyi kuharibu sifa ya mguu wa bia. Tunayo ati.
 
Mkuu naomba muongozo kidogo hapo kwenye red! je ni ruksa kwa wakaka kama kina El Toro kutumia hii kama avatar?
Ruksa mkuu..... ila ni lazima unitumie copy ya ID yako ya mpiga kura ili kuthibitisha jinsia yako!
 
Mkuu naomba muongozo kidogo hapo kwenye red! je ni ruksa kwa wakaka kama kina El Toro kutumia hii kama avatar?

Kweli jamani hizi avatar huwa zinatuchanginyi wengine....kuna kipindi nilikuwa namsumbua sana El toro kwa jinsi alivyoumbika kumbe nikaja kugundua kwamba yeye ni dume na ile ni avatar tu! Kuanzia siku hiyo nilikoma kutongoza wakinadada wa JF.
 
Ukijaa juu hadi chini si unakuwa mguu tende jamani, hapo pia mvuto unakuwa wa mashaka

mbona umeniquote nusu,nimesema unajaa kuanzia juu then chini unakua mwembamba kidogo.
ila hata hilo tende halikosi linayemvutia,mungu anapomuumba mtu ile kasoro unayomuona nayo wewe kuwa ni kasoro ujue kuna mtu inamvutia.
ndo mana hapa tunaongea tu lkn binadamu wote wako sawa na mungu katuumba tufautitofauti kwa makusudi yake.
haya ya mguu bia,kigimbi sijui fito hayana hata umuhimu kwa sana kuliko utu wa mtu.Ndo maana unaweza kukuta mdada mzuri kila idara lkn akaachwa akaolewa mwenye vimiguu fito kama vyangu:love::love::love:
 
Mguu wa bia ni kama wa MARIA ROZA (kama unavyoonekana ktk avatar yake) mimi huwa inanichanganya akili kabisa hiyo yote tisa
 
Kweli jamani hizi avatar huwa zinatuchanginyi wengine....kuna kipindi nilikuwa namsumbua sana El toro kwa jinsi alivyoumbika kumbe nikaja kugundua kwamba yeye ni dume na ile ni avatar tu! Kuanzia siku hiyo nilikoma kutongoza wakinadada wa JF.

So, wewe huwa ukiangali tu Avatar unajuwa Jinsia ya mtu..
 
Back
Top Bottom