Ukisikia mguu wa bia ndio kama huu

Uncle Rukus

JF-Expert Member
Jun 16, 2010
2,415
398
attachment.php



Wadada wa JF ni marufuku kutumia picha hii kama avatar zenu.....


...........................................................................................................................................
attachment.php

DSC030001.jpg
 

Attachments

  • Nehema kimaro.jpg
    Nehema kimaro.jpg
    46.5 KB · Views: 4,004
Mbona ameuficha ficha hata hiyo bia haionekani? Kwa niunavyo hapo ni wa kawaida sanaaa....
 
Wale mnaosema wachaga hawana usafiri mmecheck mguu huo? Toto la mzee Kimaro, kitu soft kabisa..
 
mbona mnaharibu maana halisi ya mguu wa bia,
sisi tuliozaliwa enzi za titanic mguu kama huu tuliuita mguu kigimbi,kimbunga au kiazi sasa vijana wa leo eti huu ndo mnauita wa bia.
mguu wa bia unakua umejaa kuanzia juu hadi chini yaani ukiweka pimamaji inapinda kidogo hapo chin lkn huu hebu imagine ukiupima na pimamaji hicho kigimbi hapo juu.
hebu fuata hii link ukajionee mguu unaofanana na chupa ya bia.https://www.jamiiforums.com/jamii-p...i-wewe-kimekuvutia-nini.html?highlight=:love:
sio wangu lkn.
 
Kwi kwi eheee heeeeee, hako kanaitwa ka kinumbu,huku kwetu ni maarufu kwa kupanda milima.
 
jamani tusaidiane hio ngozi nyororo kama hio inapatikana kwa kupaka nini?
 
Back
Top Bottom