Jamani hivi hii ni technologia gani ambayo inafanya mtu akipokea simu anapooza. Nimepata sms kwamba nisipokee simu ya number yoyote iliyoandikwa "Private" ukipokea inaweza kukufanya upooze na tukio hilo limewapata wengi.

1.Wahusika wenye mitandao... Voda, Zeni, Tigo..etc hii ni kazi yenu tunahitaji ufafanuzi na kuwa mmechukua hatua gani?
2. wanausalama vipi mna lolote la kusema ...kama ni kweli mko tayari kuona wanachi wanumia hihi hivi...?
3. Ni kweli huu ujumbe umesambazwa sana.... kama si kweli what could be the motive of the message?
Siyo !! ilishapita.:confused2:hivi leo lini??
Jamani, sasa kama anayepokea anakufa, tumejuaje hiyo rangi?? au inabaki na wengine wanaona kwamba ni private in red??? all i know ni kwamba ukipokea simu the word "private" disappear
huh!!
Ukipigiwa simu kwa nambari binafsi (private no.) au ikiandika call kwa red usipokee ni mionzi unaparalise na kufa.Imetokea kenya watu wamekufa.
Julisha ndugu & jamaa wote.
Msaada tafadhali wanajamiii