Ukipokea simu unaweza kupoteza maisha(kufariki)

Jul 10, 2009
31
0
Ukipigiwa simu kwa nambari binafsi (private no.) au ikiandika call kwa red usipokee ni mionzi unaparalise na kufa.Imetokea kenya watu wamekufa.
Julisha ndugu & jamaa wote.

Msaada tafadhali wanajamiii
 
Ukipigiwa simu kwa nambari binafsi (private no.) au ikiandika call kwa red usipokee ni mionzi unaparalise na kufa.Imetokea kenya watu wamekufa.
Julisha ndugu & jamaa wote.

Msaada tafadhali wanajamiii

Huu ni uzushi! Kama umeingia Tz utakuwa umetokea Kenya. Hata wao wamekanusha. Jaribu kwenda kwenye website ya Daily Nation usome. Ni uvumi ulioanzia India... kama sikosei. Kisayansi huwezi kudhibitisha huu uvumi. Mionzi hiyo itasafirije wakati cell phone haziwezi kuisafirisha? Kama unajua simu za mikononi zinavyofanya kazi wala hutapoteza muda wako kuulizia!
 
Ukipigiwa simu kwa nambari binafsi (private no.) au ikiandika call kwa red usipokee ni mionzi unaparalise na kufa.Imetokea kenya watu wamekufa.
Julisha ndugu & jamaa wote.

Msaada tafadhali wanajamiii

Ndugu sikuelewi, namba binafsi Tanzania hazitumiki.
Unapokea simu unakufa !!!!
Watu wangapi wamekufa hadi sasa nchini kenya?
 
lete scientific proof...soo wote walowahi ku-paralyse na kufa tokea dunia iumbwe walipokea simu hiyo???...TUACHE UJINGA TUTUMIE JAPO ROBO TUU YA AKILI ZETU KU-ANALYSE ISSUE NDOGONDOGO KAMA HIZI
 
Ndugu sikuelewi, namba binafsi Tanzania hazitumiki.
Unapokea simu unakufa !!!!
Watu wangapi wamekufa hadi sasa nchini kenya?

Mkuu, huyo mleta mada ameleta hapa ili apewemsaada kuhusu hiyo sms hata yeye mwenyewe haelewi hivyo alitaka wana JF kwa anyejua lolote kuhusu hiyo sms, tumweleweshe.
sasa na wewe unavyomuuliza maswali mfululizo, unamwonea tu.
 
lete scientific proof...soo wote walowahi ku-paralyse na kufa tokea dunia iumbwe walipokea simu hiyo???...TUACHE UJINGA TUTUMIE JAPO ROBO TUU YA AKILI ZETU KU-ANALYSE ISSUE NDOGONDOGO KAMA HIZI

nadhani hujaelewa. haijasema watu wote walio-paralyse ni kwa sababu ya mionzi ya simu.
 
Jaman wana jamii forum nasikia kuna watu wanakupigia simu ukipokea tu unapoteza maisha kwani simu hiyo inaharibu nerves na ubongo whatever me sio mtaalamu wa mambo hayo.
simu yenyewe inakuwa imeandikwa
private namba na call inakuwa imeandikwa kwa maandishi mekundu jamani tetesi hizi ni za ukweli au?
 
Huu ujumbe unasambazwa kwa kasi sana na unasisitiza kuwa watu wawili wamefariki kenya kwa kupokea simu za namna hiyo.......inawezekana kweli cha muhimu ni kuchukua tahadhari...pamoja na hayo kwa hapa kwetu nilisikia kwamba mitandao yote iliishaagizwa kutoruhusu private number kutumika na hakuna anayeruhusiwa kutumia private number kwa sasa ...kwa upande wa maandishi mekundu du hapo pana kazi na sijui mechanism na nguvu iliyoko kwenye huo ujumbe...
Kumbuka siku za mwisho zimekaribia na ule uharibifu ndiyo unarejea chukua hatua kwa kumkubari bwana yesu kuwa mwokozi wako....
 
1.Wahusika wenye mitandao... Voda, Zeni, Tigo..etc hii ni kazi yenu tunahitaji ufafanuzi na kuwa mmechukua hatua gani?

2. wanausalama vipi mna lolote la kusema ...kama ni kweli mko tayari kuona wanachi wanumia hihi hivi...?

3. Ni kweli huu ujumbe umesambazwa sana.... kama si kweli what could be the motive of the message?
 
Akitafutwa manyaunyau pia anaweza kutoa lake.........mana patakuwa na mengi hapo
 
Yaani, kweli mtu karne hii ya 21 unaamini mambo kama hayo? Simu unayo wewe mkononi, wewe ndio umeweka settings ghafla mtu akupigie simu au akuandikie sms yenye uwezo wa kukuua kupitia teknolojia gani hiyo?

Labda kama hao marehemu walifariki kutokana na mshtuko wa ujumbe wenyewe
 
Haiingii akilini!

Nimegoma. Tusiwe wajinga kiasi hiki.

Ni mtu kakaa zake somewhere kaamua kutunga story ili atishe watu, na sie tunaingia kwenye hiyo trap.
 
Muuuuh habari hii haieleweki vizuri (Call imeandikwa!!!..., na kuhusu rangi ni nyeusi inayotumika katika simu zetu za kawaida za mikononi, lakini ujumbe umefika
 
Back
Top Bottom