Kipunga
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 262
- 573
nitaifanya nchi iwe na uongozi wa kifalme.nitakuwa na wake wengi ambao watakuwa ni wakuu wa mikoa na wilaya zote nchini.nitakuwa na msafara mkubwa sana wenye magari yasiyopungua mia moja na magari ya kijeshi aina iveco kumi yaliyojaza wanajeshi mia mbili wenye siraha za moto..tamteua mwanangu awe mkuu wa majeshi.