jackson kanene
Member
- Jan 7, 2012
- 92
- 27
Thanx cacy' mie ni mbunifu asilia,mie nimezaliwa 1982 na yeye kaniambia kazaliwa 1987 so gape ni kama 5yr dats all i knw abt her.kwanza pokea like ka 8 hivi kwa kuniita vizuri hivyo nimependa 'cacy' mmh thats sweets nice, by the way umemzidi miaka mingapi?? au ni mkubwa kwako??