ukipata mwenza kupitia jf........

my favourite food umejuaje kha! bathi ngoja nikutajie herufi ya mwanzo anaanziwa na 'M', ila silijui jina lake halisi, natamani hata kuchungulia profile yake naogopa, by the way young master we ni wa kale hapa, hujawahi admire mtu hapa??? mi nimekuja juzi na tayari namuadmire huyo mtu vibaya, yaani comments zake tu, na lyrics zake NAFWA!

yupo mwanada mmoja ambaye ameuteka moyo wangu. yaani ikipita siku bila kuchungulia profile yake nahisi nitaugua siku hiyo.
 
ndugu yangu,co kwamba namuonea wivu wifi mtarajiwa ila nina mifano hai ya isue yako.bt co ya jf ila ya kuoa haraka kisa waenda nje ya nchi mwisho wake ni divorce. TAFAKARI CHUKUA HATUA
Thanx chammy bt sipendi kuoa na kuacha m2 bt tatizo yeye hayuko wazi kwangu ili nimfahamu kiundani' pia tatizo ni umri unaenda nami nahitaji kuitwa baba.
 
charminggirl na kama keshamwambia kuwa anakwenda china, kwa ninavyowajua mademu wa kibongo wanavyopenda kitonga, washuke huku wamesimamia bicycle, hawezi zungusha, utampata tu shaka ondoa! na ukweli utaujua, BUT NENDA TARATIBU! NDOA SI USANII!
Mkuu sijawahi kumwambia kama nitaondoka nchini bt alikuja akaniona nami nikampeleka kule ninaposomea ndege' kwani hata huko china naenda kusomea fani hiyo hiyo.
 
yupo mwanada mmoja ambaye ameuteka moyo wangu. yaani ikipita siku bila kuchungulia profile yake nahisi nitaugua siku hiyo.
basi kumbe wagonjwa tupo wengi! tena hii sredi isingewekwa ikanigusa nisingeweza jua kuwa tupo wengi tuumwao, ngoja tu nimwambie japo hajijui we kaka 'M' NAKUPENDA SANA!
 
Ngoja nimwite Maziwa ya Mgando, kumbe unamwadimaya sekretivuly.

Hana shida kabisa ukisema, pole lakini.

my favourite food umejuaje kha! bathi ngoja nikutajie herufi ya mwanzo anaanziwa na 'M', ila silijui jina lake halisi, natamani hata kuchungulia profile yake naogopa, by the way young master we ni wa kale hapa, hujawahi admire mtu hapa??? mi nimekuja juzi na tayari namuadmire huyo mtu vibaya, yaani comments zake tu, na lyrics zake NAFWA!
 
Mkuu sijawahi kumwambia kama nitaondoka nchini bt alikuja akaniona nami nikampeleka kule ninaposomea ndege' kwani hata huko china naenda kusomea fani hiyo hiyo.
labda ni staki nataka jack, mpe muda tu na usikate tamaa, utaujua ukweli, kwani ushasoma gauge inasemaje???
 
Kila anachopost mgongee Like hata kama ni shudu.

Atajiongeza tu, uzuri wa jf tuna huruma sana kwa komunity and women empawament.

basi kumbe wagonjwa tupo wengi! tena hii sredi isingewekwa ikanigusa nisingeweza jua kuwa tupo wengi tuumwao, ngoja tu nimwambie japo hajijui we kaka 'M' NAKUPENDA SANA!
 
basi kumbe wagonjwa tupo wengi! tena hii sredi isingewekwa ikanigusa nisingeweza jua kuwa tupo wengi tuumwao, ngoja tu nimwambie japo hajijui we kaka 'M' NAKUPENDA SANA!

sasa si umtaje jamani? M ndio nani? ujue unaniacha njia panda eti
 
Ngoja nimwite Maziwa ya Mgando, kumbe unamwadimaya sekretivuly.

Hana shida kabisa ukisema, pole lakini.
kongosho hayo umesema weye, usitake mkewe huku ndani akanitupia mikuki ya mbali, mi nitasema kwa mafumbo hivihivi mpaka atajijua! kongosho nampenda huyo 'm' acha kabisa,
 
mmh! mpe muda utamjua tu, but umejoin january if am not mistaken, tayari mshatembeleana?? go slowly my dear! u wont regret.
mh sidhani kama uko sahihi kuwa nimejoin january,bt hata fb nipo mda mrefu kwani mm ninatumia jina langu sahihi na sio nick name waweza hakiki hili hata kule fb,bt yy 2lifahamiana humu humu jf.
 
Kila anachopost mgongee Like hata kama ni shudu.

Atajiongeza tu, uzuri wa jf tuna huruma sana kwa komunity and women empawament.
kongosho umeongea point! nitaanza kugonga ma - like kama mwehu, lazma ataisoma number kimyakimya mpaka ajue, uwiiiiiiii nampendaje sasa?! kongosho kitchen party yangu simtaki aunt sadaka wala gea habib nakutaka wewe, kipipi, chauro, madamex, russianroulette,chauro na firstlady mnifundeje sasa, no kuachika, nikitoka hapo am sure nitakuwa nimenoleka!
 
unamuita Kongosho? atakuchambaje?
 
Last edited by a moderator:
sasa si umtaje jamani? M ndio nani? ujue unaniacha njia panda eti
halafu we young master mbona mfukunyuku hivyo?? nimekutajia herufi ya mwanzo bd unanichokonoa kha! hebu sema ahsante kwanza kwamba at least herufi ya mwanzo umeijua, mbona kongosho mwenzio tayari keshaanza kuhisi, naona kamtaja maziwa ya mgando, kha, kongosho weye si bora hata ungenipm kuliko kuweka mambo hapa! kha!
 
Tatizo lake hajiamini ana hofu kisa tumekutana jf sa sijui alitaka 2kutane wapi'tatizo mimi nataka kuujua ukweli kuhusu yy na family yake .
mkalishe chini, mwambie ukweli, mwambie pia unataka ukweli kutoka kwake pia, hivi akikwambia ana mtoto utafanyaje??
 
halafu we young master mbona mfukunyuku hivyo?? nimekutajia herufi ya mwanzo bd unanichokonoa kha! hebu sema ahsante kwanza kwamba at least herufi ya mwanzo umeijua, mbona kongosho mwenzio tayari keshaanza kuhisi, naona kamtaja maziwa ya mgando, kha, kongosho weye si bora hata ungenipm kuliko kuweka mambo hapa! kha!

ahaaaaa!!! kumbe ndio zako eee? kama huniambii sikupi kuku wangu
 
mkalishe chini, mwambie ukweli, mwambie pia unataka ukweli kutoka kwake pia, hivi akikwambia ana mtoto utafanyaje??
Ni shamwambia cacy!bt naona kama yeye hana uhakika na anachokifanya na anataka kubahatisha kati ya mimi na mtu mwingine nisiye mfahamu(mtu wake)hata hivyo kama akinieleza kuwa ana mtoto nitafanya maamuzi sahihi juu yake na yatakuwa na faida kwetu sote.
 
kwanza pokea like ka 8 hivi kwa kuniita vizuri hivyo nimependa 'cacy' mmh thats sweets nice, by the way umemzidi miaka mingapi?? au ni mkubwa kwako??
 
Back
Top Bottom