Ukiona unaota ndoto hizi chukua hatua mapema

Habari wapendwa! Katika maisha yangu ya kiutumishi mpaka sasa nimegundua kuwa watu wengi wanaishi kwa mapenzi ya wachawi, watu wengi wanakufa kabla ya siku zao, watu wengi ni masikini kwa sababu ya vifungo walivyo navyo, watu wengi wanaishi maisha ya shida ambayo sio kusudi la Mungu wao kuishi maisha hayo, watu wengi wanaumwa kisukari feki, presha feki, ukimwi feki, yaani hayo magonjwa wamerushiwq na wanaishi nayo! Mungu wetu huwa anazungumza nasi kupitia ndoto ila wengi hawajali wanafikiri ni ndoto tu, lakini laiti wangechukua hatu wasingefikq huko waliko,

Kwa kuwa Mungu hunena mara moja, Naam, hata mara ya pili, ajapokuwa mtu hajali.Ayubu 33:14

Katika ndoto, katika maono ya usiku, Usingizi mzito uwajiliapo watu, Katika usingizi kitandani;

Ayubu 33:15

Ukiona unaota ndoto hizi, ndugu yangu chukua hatua! Usifikiri ni ndoto tu! Ni Mungu anakujulisha hali yako ya kiroho! Kumbuka ulimwngu wako wa kiroho ndio hali yako ya kimwili na ndio maisha yako halisi hivyo usipuzie

Angalizo: nazungumzia ndoto inayojirudia zaidi ya mara moja!

1: Kuota unafanya mapenzi kwnye ndoto

2: Kuota unakula kwenye ndoto au kunywa

3: Kuota unakula nyama kwenye ndoto

4: Kuota unaogelea

5: Kuota unapaa kama ndege

6: Kuota unaonana na watu waliokufa au kuongea nao

7; Kuota upo makaburini

8: Kuota upo mtoni unaoga

9: Kuota umengatwq na mbwa au kushambuliwa na mbwq

10: Kuota unangatwq na paka au kushambuliwa na paka wengi

11: Kuota unakimbizwa na ngombe mkali

12: Kuota unakimbizwq na nyoka, au kungatwa na nyoka, ukumbwa wa nyoka una maana yake,

Hizo ni baadhi ya ndoto mbaya ambayo hupaswi kuzipuzia ndugu yangu, na kila ndoto hapo ina maana yake, madharq ya ndoto hizi ukizipuzia.

1: Vifo vya ghafula
2: Magonjwa yasiyothibika mfano ukimwi, pressure, kisukari nk
3: Kufa kwenye ajali
4: Migogoro kwenye ndoa
5: Kutokufanikiwa kama wewe umesoma unatafuta kazi hupati na hata kama ukipata unafukuzwa bila sababu
6: Kutokuolewa
7: Umasikini
8: Kwenda jehannum ya moto, hamna muota ndoto hizo atakayeenda mbinguni kama haawezi kuzishugulikia

Kwa jina la Yesu ndugu utawekwa huru, hizi ndoto haziondoki kwa kwenda kwa manabii au kutumia mafuta na vifaa vya kiroho! Ni kwa Jina la Yesu tu! Unawekwa huru ndugu,

Kama wewe unateswa na miongoni mwa ndoto hizo, njoo inbox nikupe maana yake, na suluhu yake!

Nitakuungqnisha na wachungaji wa eneo uliopo ninao wajua na utawekwa huru ndugu yangu!!
Nilikuwa natafuta ya kuota unafanya mtihani nashukuru Mungu siyaiona kwenye list Yako.
 
Umezunguka wee bt lengo lako kuponda mitume na manabii na kutangaza dhehebu lako hutoboi kwa style hii. Kama ilivyo wapo mitume na manabii wa uwongo na kweli pia wapo wachungaji wa namna hiyo, inshu ya maji na mafuta ni vitu vpo kbs hata ndan ya bible na vinatumika spiritually ulimwengu wa nuru na giza.
 
Umezunguka wee bt lengo lako kuponda mitume na manabii na kutangaza dhehebu lako hutoboi kwa style hii. Kama ilivyo wapo mitume na manabii wa uwongo na kweli pia wapo wachungaji wa namna hiyo, inshu ya maji na mafuta ni vitu vpo kbs hata ndan ya bible na vinatumika spiritually ulimwengu wa nuru na giza.
Sio kweli, mpendwa, mafuta na maji yeyote anayetumia vyitu hivyo ni feki wala hatokqni na Mungu ninayemjua, na kama upo vizuri kimaandiko njoo inbox nikupe namba ya wasap unionyeshe ni wapi wamesema tutumie maji na mafuta kwenye ibaada zetu
 
Back
Top Bottom