Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,810
- 15,398
Kuna wakati huko Berlin, nchini Ujerumani, kulikuwa na onesho ambapo wanawake walikuwa wakionesha maungo yao kwa malipo. Wanawake hao walikuwa wakionesha maungo hayo kwa wanaume ambao wanaamini kwamba, kuona sehemu za siri za mwanamke ndicho kilichomleta binadamu wa kiume hapa duniani.
Hebu sikia ujinga huo zaidi. Waandaaji wa onesho hilo ambalo lilihusisha wanawake wapatao 100 wa umri wa miaka 19 hadi 65 walilazimika kuwaita Polisi ili kudhibiti midume iliyokuwa imeshindwa hata kukata tiketi kuingia kwenye onesho hilo. Kila mmoja alikuwa akitaka awahi yeye kuona sehemu za siri ambazo bila shaka mkewe na watu wengine wa jinsia ya kike wanaomzunguka wanazo!
Mwandaaji wa onesho hilo, Vanessa Beecroft, ambaye ndiye mgunduzi wa njia hii ya kujipatia fedha kirahisi, hufanya maonesho haya kwa jina la VB55 kwa nyakati na miji tofauti Ulaya.
Najua kuna watu watauliza: Source Please.............. Hebu naomba M-Google VB55