Ukiona mwanamke kakaa uchi unapata nini?

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,806
15,379
Kuna wakati huko Berlin, nchini Ujerumani, kulikuwa na onesho ambapo wanawake walikuwa wakionesha maungo yao kwa malipo. Wanawake hao walikuwa wakionesha maungo hayo kwa wanaume ambao wanaamini kwamba, kuona sehemu za siri za mwanamke ndicho kilichomleta binadamu wa kiume hapa duniani.

Hebu sikia ujinga huo zaidi. Waandaaji wa onesho hilo ambalo lilihusisha wanawake wapatao 100 wa umri wa miaka 19 hadi 65 walilazimika kuwaita Polisi ili kudhibiti midume iliyokuwa imeshindwa hata kukata tiketi kuingia kwenye onesho hilo. Kila mmoja alikuwa akitaka awahi yeye kuona sehemu za siri ambazo bila shaka mkewe na watu wengine wa jinsia ya kike wanaomzunguka wanazo!

Mwandaaji wa onesho hilo, Vanessa Beecroft, ambaye ndiye mgunduzi wa njia hii ya kujipatia fedha kirahisi, hufanya maonesho haya kwa jina la VB55 kwa nyakati na miji tofauti Ulaya.

Najua kuna watu watauliza: Source Please.............. Hebu naomba M-Google VB55

Sina hakika unapata nini hasa! Lakini I can bet, wanaume wengi wangependa kuangalia!.

Its so strange, najaribu kujiuliza hivi nikiona mwanamke (sio ndugu yangu kwa mfano) kakaa uchi kwa bahati mbaya, je ntaendelea kuangalia/au kutaka kutizama vizuri zaidi? Kwa nini? Sina jibu la haraka.

funny.jpg

angekuwa ndugu yako je?
 
what happens to the opposit side of it..............

ingekuwaje wanaume nao waonyeshe nyuchi zao......je wanawake wangejazana kulipa kiingilio wapate kuona.......?
 
ni kwa sababu huwa hizo sehemu zinafichwa hilo la kwanza,lapili ni tamaa ya wanaume, wanaume tunataama sana juu ya kina mama,na hili ni kwa sababu akili zetu zote tumezilazia huko
 
what happens to the opposit side of it..............

ingekuwaje wanaume nao waonyeshe nyuchi zao......je wanawake wangejazana kulipa kiingilio wapate kuona.......?

ahhh nyie hamna mvuto ata kdgooooooooooo....mkivua nguo mnatishaaaaaaaaaaaaaaaaaa hasa wewe bacha...ole wako univulie tena nguo km jana....ntakugechaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!1
 
kwa ndugu hautatazama, lkn kwa mwanamke mwingine lazima jicho likutoke kwa sana tu.
 
ahhh nyie hamna mvuto ata kdgooooooooooo....mkivua nguo mnatishaaaaaaaaaaaaaaaaaa hasa wewe bacha...ole wako univulie tena nguo km jana....ntakugechaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!1
hapo tu bi kmubwa nakubishia aiseee!
huwa najiuliza sana kwa nini wamnaume tunapenda sana kule wakati kitu chenyewe kibayaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!
ukweli za wanaume huwa zina mvuto huwezi kufananisha na zenu!!
 
Hii thread kwa wanaume tu.
Wadada wa jeief sio muanze kukaa uchi humu wanaume warukie screen zao.
Ntarudi b'dae.. Wanaume msijali sana,
 
what happens to the opposit side of it..............

ingekuwaje wanaume nao waonyeshe nyuchi zao......je wanawake wangejazana kulipa kiingilio wapate kuona.......?

on the contrary, we never look at them "nyuchiz za wanaume". si tunawaonaga mkiwa mnajisaidia pembezoni mwa barabara??? we shy away instead. Lakini pia ikiwa ndani ya suruali ikawa imenyanyuka kidogo hapo mimi naangalia......:msela:
 
  • Thanks
Reactions: SMU
ingekuwa hapa bongo mi ningelipa nishuhudie punye tofauti tofauti! teh! teh! teh! natania tu
 
Wanaume wanapenda kuikodolea hiyo sehemu kwa sababu ni ya siri ingekuwa ni ya wazi kama kiungo kingine wala wasingepoteza muda wao
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom