AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,083
We nae..kumbe ulishikwa pabaya halafu husemi!...
Ni ishu ya kule Kericho nini?...Mambo kama hayo usiyafiche PM, lete huku hazarani tuyachambue!
Paka Jimmy mambo ya PM siwezi anika hata siku moja hapa bila consent ya member (na sidhani kama occasion ita arise) Preta alitumwagia hilo pale chit chat kua katumiwa msg ya kuambiwa jamaa yupo busy....lol..
I wish ungejua mtu unaeongea naye ni mpole kivipi!....huyo Preta mwenyewe mwanzoni alikuwa ananiogopa kama nanihiino, lakini sasa hivi kaniganda kama luba!
hahaha.... Alikua na haki kabisa ya kukuogopa... Mie mwenyewe siamini kama nipo kum-qoute Paka Jimmy maana nilikua naogopa....lol... (sorry) But leo nikaona nina hamu saana ya kukusalimu hivo sio mbaya nikijikaza na kuangalia pc kwa jicho moja.