Ukiona kinaelea kimeundwa

We nae..kumbe ulishikwa pabaya halafu husemi!...
Ni ishu ya kule Kericho nini?...Mambo kama hayo usiyafiche PM, lete huku hazarani tuyachambue!

Paka Jimmy mambo ya PM siwezi anika hata siku moja hapa bila consent ya member (na sidhani kama occasion ita arise) Preta alitumwagia hilo pale chit chat kua katumiwa msg ya kuambiwa jamaa yupo busy....lol..

I wish ungejua mtu unaeongea naye ni mpole kivipi!....huyo Preta mwenyewe mwanzoni alikuwa ananiogopa kama nanihiino, lakini sasa hivi kaniganda kama luba!


hahaha.... Alikua na haki kabisa ya kukuogopa... Mie mwenyewe siamini kama nipo kum-qoute Paka Jimmy maana nilikua naogopa....lol... (sorry) But leo nikaona nina hamu saana ya kukusalimu hivo sio mbaya nikijikaza na kuangalia pc kwa jicho moja.
 
dah dah dah! ushawahi kupigwa makonzi ya ulimi?



Kweli niece wangu mtiifu... I was like ngoja nicheck nakukuta umejaa....lol... Nakwambia baada ya dakika chache tu Mzee ata WISH ungeendelea kuwepo pale....lol...
 
......lol... Mie maamuzi nawaachie nyie maana hapa nilitoa mwongozo tu.... Mie ngoja nikajiunge na Sweetie saizi....
heheh mie mwenyewe nalog out muda si mrefu, mida za kunyemelea walevi waloanguka na kuondoka na wallet zao hizi
 
Ujanja wote huo wallet hujapakaa super glue? Bill ikija unahesabia mumo humo mfukoni,lol! Kweli mjini hakuna mwenyeji!
heheh King'asti bana! nilopombeka sio mimi bana, mimi naenda kupiga mpera mpera tu na nikiona mlevi kaanguka naondoka na wallet, hivi unazani hela ya cafe napata wapi?
 
Kloro acha maskhara! Nambie wanywea kilabu gani niwe nakuja hapo,nikiangusha wallet unaiba hela tu afu unanirudishia!
heheh King'asti bana! nilopombeka sio mimi bana, mimi naenda kupiga mpera mpera tu na nikiona mlevi kaanguka naondoka na wallet, hivi unazani hela ya cafe napata wapi?
 
Back
Top Bottom