Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 71,021
- 94,074
Hebu nitafsirie hiyo cupcake inamaanisha nini kabla sijalianzisha......lol
Mambo poa tu
Hehehe...hebu fanya urafiki na gugo basiiiii!!!
Ni furaha kwangu kujua u mzima wa afya....
Hebu nitafsirie hiyo cupcake inamaanisha nini kabla sijalianzisha......lol
Mambo poa tu
Helo wandugu. Ninaomba ushauri.
Nimeoa na mke wangu ni wa Pwani. Tumepata mtoto ila huyu mwanamke hataki nimpeleke mwanangu kwetu.
Niko Mkoa mwingine kikazi. Huko kwetu nimejenga na nina nyumba yangu. Mama anahitaji walau akae na mjukuu wake siku 3.
Mke hataki. Wala hawazi nikifa Leo nitapelekwa kwangu.
Infact hana mawasiliano mazuri hata kumjulia mama yangu hali.
Hii imenifanya nikate mawasiliano na kwao. Kwani alikua ikipita wiki anadai mama yake analalamika simsalimii.
Mama yangu Mimi kwake ni mtoto pekee. Alitumai kupata mwali atakae mpenda. Sasa analalamika tu.
Kuna haja ya kua na mke wa kikijini na mjini?