Ukiniacha Nakuloga

Mkuu inawezekana kabisa wakati wa gemu hukutumia kinga,na kama ulitumia inawezekana pia aliondoka na sha......zako na kwa watu fulani huzitumia kuumiza wenzao,mimi kuna mmoja alinifanyizia kiasi kwamba ndoa yangu ilikaribia kusambaratika maana kila nikitaka kufanya tendo la ndoa kwa mke wangu jogoo alikuwa hawiki,ila nikirudi kwake ni full power tena najisikia raha ya ajabu.Nilipokuja kugundua mchezo wake mpaka sasa sitaki kusikia habari za one night stand ni heri nibaki na mama watoto kwa amani kuliko kuishi kwa wasiwasi.
 
ulitumia dawa gani
 
ulitumia dawa gani
Mkuu Kilaza kuna mambo huwa tunafanya lakini ni vigumu sana kuyasema hadharani ila jua tu kuwa nilitumia njia ambazo si rasmi kijamii( za giza)kama alizotumia yeye na nilipona.
 
Hana lolote huyo tena jidai mjinga umuite umtomboe tena halafu unahama nyumba mazima asije akakuchomea ndani
 
Hahahaaaaaa nimecheks mpaka mbavu zinauma. Dah!
Mkuu wewe ulidhani kaamua tu kukusafishia uwanja?! Heheheeee...hiyo kiboko.
 
eti kabinti, mbona li dushe lako lilifanya kaz ? hiv hata hiyo round ya kwanza alivumiliaje na hilo li mctu daaa!
 
Jamii forum ni zaidi ya burudani....ukiwa na stress tembelea jf....full kuvunja mbavu hata ukiwa lonely.
 
Back
Top Bottom