Joseph
JF-Expert Member
- Aug 3, 2007
- 3,518
- 1,086
Mkuu inawezekana kabisa wakati wa gemu hukutumia kinga,na kama ulitumia inawezekana pia aliondoka na sha......zako na kwa watu fulani huzitumia kuumiza wenzao,mimi kuna mmoja alinifanyizia kiasi kwamba ndoa yangu ilikaribia kusambaratika maana kila nikitaka kufanya tendo la ndoa kwa mke wangu jogoo alikuwa hawiki,ila nikirudi kwake ni full power tena najisikia raha ya ajabu.Nilipokuja kugundua mchezo wake mpaka sasa sitaki kusikia habari za one night stand ni heri nibaki na mama watoto kwa amani kuliko kuishi kwa wasiwasi.