Mliambiwa hii ni vita, ndiyo maana wakuu wote wa usalama walialikwa wakati wa kamati kuapishwa.Kamanda mkuu ni RaisMuhongo ni waziri kivuli
Wizara ipo chini ya the man himself Chief Nanga wa Chattle.
Hizo fani zote tatu hufanya kazi pamoja (kwani kila hatua inategemeana na nyingine). Na hata watu waliopo ktk wizara ya Prof Muhongo (upande wa madini) ni wa fani hizo zote, na ndo maana nasema Prof Muhongo anaweza kuwa anajua kinachoendelea (na pengine alishamshauri mkuu lkn hawakuelewana na ndo maana mkuu akataka timu ya wataalam ili kupata suluhisho tofauti). Hata timu aliyounda mkuu (ya watu hao wanane) amechanganya fani hizo zote tatu.Ubarikiwe kpm kwa elimu tosha. Isipokuwa mwishoni umetuacha tuamue wenyewe. Swali langu mkuu ni hili hao wataalamu uliowataja yaani Mining Engineers na Processing Engineers hatuna hata mmoja ili waungane na Geologist Prof. Muhongo kutupa taarifa na ukweli kuhusu huo mchanga kwenye makontena?
Umenena 100%Maprof n madokta wanapewa kazi za uwaziri lkn wanageuka kuwa Mabasite. Ni bora wangebaki vyuoni wa fundishe vijana wetu labda watapatikana wakina Lisu wengi. Waziri wa sheria mpya kwenye Rasimu ya katiba alikuwa n msimamo thabiti leo ni Waziri hatafungua mdomo wake kushauri kuwa n katiba aliyokuwa anaitetea. Aliyemteua ameshaweka wazi hana agenda ya katiba mpya. Sasa ni bora angebaki kufundisha
Tokea kuanza kwa sakata la makontena ya mchanga wa Dhahabu sijasikia tamko lolote kutoka kwa Waziri wa Nishati na Madini Proff. Muhongo. Akiwa Waziri mwenye dhamana ya kusimamia wizara hiyo ilikuwa ni muhimu Watanzania kupata maoni yake. Wakati wa ziara ya Rais Magufuli na baadaye Spika wa Bunge Ndugai sikumuona Waziri Muhongo akiambatana nao katika ziara ya ukaguzi wa makontena hayo ya mchanga wa Dhahabu. Proff. Muhongo ni mwanagiologia mkubwa na maoni yake katika sakata hii na mchango wake ni muhimu.
Je Proff. anajua kinachoendelea na ameamua kuwa kimya ? Kwasasa naona kuna mwingiliano wa kikazi mkubwa hapa nchini kufuatia kauli ya Meneja TPA kuongea mbele ya Rais na Spika kuwa anajua zile kontena zina Dhahabu toka lini Meneja wa TPA akawa Geologist ?
akiwemo bareguma prof wa bongo wachumia tumbo tu
Thanks for the info.Hao wot
Hizo fani zote tatu hufanya kazi pamoja (kwani kila hatua inategemeana na nyingine). Na hata watu waliopo ktk wizara ya Prof Muhongo (upande wa madini) ni wa fani hizo zote, na ndo maana nasema Prof Muhongo anaweza kuwa anajua kinachoendelea (na pengine alishamshauri mkuu lkn hawakuelewana na ndo maana mkuu akataka timu ya wataalam ili kupata suluhisho tofauti). Hata timu aliyounda mkuu (ya watu hao wanane) amechanganya fani hizo zote tatu.
Mbona mwenyekiti wa kamati Prof Mruma ni Geologist.Mjumbe Prof.Ikingula ni Geologist.Mhe.Waziri anao Mineral processing Engineers,TMAA,STAMICO,GST wana uwezo wa kumuandalia cha Kuongea.Kama wengi walivyocomment Mhe.Waziri na Naibu wake Mhe.Kalemani,Naibu katibu mkuu wa Madini Prof.Mdoe wameamua kukaa kimya baada ya Katibu wa Wizara Prof.Ntalikwa(Mineral processing Engineer) kutoa ushauri wa kitaalam na kutumbuliwa."Unataka kukimbia na hauna break?What do you expect?...bongo ya Thabo Mbeki.....!!"Mhongo ni mtalaamu wa geology si mtalaamu wa mineral processing. Akisema atasema asichokijua!