Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 10,129
- 35,151
Kwa sasa ni bora akajikalia kimya tu, maana Katibu wake mkuu alipofungua mdomo tu siku ile bandarini wakati Spika na kamati ya bunge ilipokwenda kukagua, jioni yake Rais alimtumbua.
Tena katika hili suala kuna taarifa zinasema Profesa Muhongo "Katengwa" maana yeye pia ni sehemu ya tatizo, inadaiwa anatetea upande ule wa ...
Sote tunajua Rais katika hili suala alichemka vibaya, lakini hakuna mtu katika serikali yake ana huo ubavu wa kumwambia Ukweli. Rais ameshindwa kumwamini hata Waziri mkuu wake katika hili...
Hili suala linaweza kumwondoa hata Majaliwa ikitokea tu ataonyesha msimamo wake, au atashindwa kulizima vizuri kwenye bunge la Bajeti.