Ukimya wa CCM na Lusinde

huyu alitumwa na wenzake. kwani hamkuona na kusikia mkaa hapa akipoteza mwelekeo na kuanza kuichambua familia ya mwalimu? kama kuna mwenye hekima miongoni mwa hao mafisadi atamkemea huyu mbunge. amefedhehesha vijana wa ccm. aombe radhi taifa hadharani na sio kwenye vikao vyao vya ndani.
 
Ccm acheni tabia za kuokoteza, Livingstone Lusinde, elimu yake chekechea, Prof. Maji marefu same type, na Jah People hali kadhalika! Hivi mnataraji respond gani toka kwa watu wa aina hiyo? Dunia ya 2010, wasomi wako kibao! Kwa nini kuwabania? Jifunzeni kwa mtini huenda mkaelimika. Lusinde hafai kuendelea kuwa kiongozi wa watz, hata ndani ya ccm yenyewe.
 
Labda turudi nyuma kidogo. Heri huyu aliyetukana. Vipi yule aliyekuwa kwenye mkutano Igunga na bastola amechukuliwa hatua gani hadi sasa?

​
rage.jpg
[/QUOT
JAMANI HUYU NI MSOMALI...HAWEZI SAHAU ASILI YAKE PAMOJA ANAJIITA MTZ....BADO NI MSHIRIKA WA VITA KULE...INAWEZEKANA ALIKUWA ANAENDA ...SOMALIA AKAPITIA KWENYE KIKAO AKIWA NA ZANA ZA KAZI!!!!!
 
Hakuna wa kutoa tamko, walikuwa na option ya kumshusha jukwaani alipopoteza mwelekeo wa maneno.
Kumuadhibu Lusinde itakuwa ni unafiki wa hadharani na atakuwa ni kafara ili kujisafisha mbele za watu.

Wajipange strategy zao za uchaguzi ni kutangaza sera zao au kufanya mashambulio ya aibu ya maneno.
 
Kumbuka ile story ya binti (mwanafunzi) aliyerudishwa nyumbani kumleta mzazi wake kwa kuvaa nguo fupi, na alipomleta mama yake, ilionekana mama kavaa nguo fupi kuliko mtoto ile mbaya kinoma. Sasa mkisema Viongozi wa CCM waseme, usishangae wakatukana kuliko Lusinde
 
Hawawezi toa tamko they thought Arumeru was 'Campo Vaccino':nono:

Nyie mnataka afanywe nini labda?? Vidonge vyenu mmepewa, mezeni tu hata kama vichungu. Huyo ndo kibajaji bana. Na bado, tutamtumia kila uchaguzi unapotokea, mkitaka kunyweni sumu. Chezea CCM wewe????
 
Back
Top Bottom