kapistrano
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,244
- 453
Jaman UKIMWI unatumaliza jamani ARV ni kichaka kinachowaficha simba wakali sana
NB;TULIENI JAMAN NITARUDI KUTOA USHUHUDA
Bado tunasubiri huo ushuhuda.
Jaman UKIMWI unatumaliza jamani ARV ni kichaka kinachowaficha simba wakali sana
NB;TULIENI JAMAN NITARUDI KUTOA USHUHUDA
Hakuna element ya unyanyapa let us wait ni nini atasema kuhusu huo ushuhuda then we will note something!kuna masimulizi yanayotoa elimu kwa umma tutayafurahia, lakini masimulizi yenye sura ya unyanyapaa tuyakatae kwa nguvu zote! Kuna watu humu ni waathirika, wanaishi na watoto yatima, ndugu waathirika, unadhani watajisikiaje? unajua mtu ukimpenda hata kufanya jambo baya nafsi itamsuta. Hata mwizi akiona unapenda kukuibia atajiuliza mara nyingi,labda iwe njaa tu!
Hakuna element ya unyanyapa let us wait ni nini atasema kuhusu huo ushuhuda then we will note something!
ungekuwa wewe unaambiwa expire date imekaribia ungefurahi? Unajua kwamba wengi wa waliambukizwa hiv hawakupenda hasa wake za watu? Na watoto waliozaliwa waathirika je? Join in a fight against discrimination na maambukizi yatapungua.
SAWA BABA! BAK kuna wimbo wa sikinde sijui una hii title vipi unao?au we ni za kidhungu tu!
unajua dada angu hili suala ni gumu sana. Unakumbuka enzi za tufe wengi? Ile ilitokana na pointing fingers walizokuwa wanapewa waathirika. Nina dada yangu aliambukizwa na mumewe makusudi kwani alimsema wifi yake aliyeathirika. Kitendo hicho kilimuudhi mume akaamua kwenda kuutafuta kwa nguvu zote na kuuleta nyumbani. Huwa nashtuka sana ninapoona watu wanawazungumzia vibaya waathirika kwani ni suala linaloongeza waathirika wengine. Kuna jamaa mwingine alisikia afisa mmoja anatumia arv akamsema vibaya kwa watu na yule afisa akasikia. Alichofanya alimuwinda mke wa yule jamaa mpaka akampata tena ukichukulia jamaa alikuwa tra!, na sasa hivi wote ni waathirika wanatumia arv. Hawa watu wanahitaji kupendwa na jamii ili wajue kwamba wana umuhimu wa kuwalinda wengine. Hizi kauli za living dead sizipendi kabisa!