Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,350
Huu usemi wa NDOA kuaminiana siupendi, ina maana hata kama anamegwa wewe uendelee kumwamini tuuuu, mpaka Ngoma iwaondoe ndo ushtuke ujinga huu, mimi huwa namwambia wife Ndoa ni UAMINIFU na si kuaminiana, ukiwa mwaminifu hakutakuwa na shida lkn si uaminifu halafu behind the door mtu anamega au kumegwa. Ukisikia jambo lifanyie uchunguzi sio kukaa kimya