Ukimuamini mpenzi wako na kupuuza maneno ya watu, mtadumu milele!

Huu usemi wa NDOA kuaminiana siupendi, ina maana hata kama anamegwa wewe uendelee kumwamini tuuuu, mpaka Ngoma iwaondoe ndo ushtuke ujinga huu, mimi huwa namwambia wife Ndoa ni UAMINIFU na si kuaminiana, ukiwa mwaminifu hakutakuwa na shida lkn si uaminifu halafu behind the door mtu anamega au kumegwa. Ukisikia jambo lifanyie uchunguzi sio kukaa kimya
 
Mwanume anayeiba huwa anaiba kila kitu haachi hata kijiko, so wewe endelea kujaza pamba masikioni mimi nitasikiliza then nachunguza.
 
Ukimuamini mpenzi wako na kupuuza maneno ya watu, mtadumu milele!

Hii haina ubishi kwa sisi waaminifu kwenye mapenzi, huwa hatusikilizi kelele za milango tushindwe kulala!
 
Binamu wewe unaaminika sana mpwa hawezi kuwa hajiamini lazima alikuwa ananisemea mimi.

Mpwa nimekugongea senks pale juu. Kaangalie uthibitishe. Machapuo mnayonipigia kwa shemeji yenu hata akunifumania hakutakuwa na kesi ya kujibu. Nimeshasamehewa makosa kumi yajayo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom