Ukijua huu...

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
3,811
1,604
Milionea mmoja alienda benki kuomba mkopo wa shillingi 250/=
Meneja: Sasa wewe pesa zote ulizonazo unaombaje mkopo wa 250?
Milionea: Nimesema ninataka mkopo wa 250, kama hamnipi nitatoa pesa zangu zote nikaweke benki nyengine.
Meneja: Tutakupa mkopo unaotaka lakini kumbuka kuwa 250 kwa mwezi riba itakuwa 750/= pamoja na dhamana.
Milionea: Sio kitu, nitalipa riba na dhamana ninaweka Marcedes Benz yangu"- akamkabidhi Meneja ufunguo wa benzi akaenda zake. Alipofika kwake akamwita mke wake:
"Maria, sasa tunaweza kuenda zetu likizo tukiwa hatuna wasiwasi. Gari nimeiweka benki kwa Shs 750 tu kwa mwezi, kule iko salama zaidi Parking ya umma."
 
huyo manager hana ubongo wa hesabu za uchumi. ama ni m2 wa deci ama vibati mitaani
 
Back
Top Bottom