Ukigundua shemeji yako (mume wa dada yako) anatoka kimapenzi na rafiki yako wa kike utafanyaje?

Ricky Blair

JF-Expert Member
Mar 13, 2023
391
873
Umegundua shemeji yako(mume wa dada yako) anatoka kimapenzi na bestfriend wako wa kike😳😳😳 na hawajui kwamba wewe unajua.

Unafanyaje? Una mconfront bestie yako au shem? Au unaenda kumuambia dada yako?😫😫😫

Nisaidie wana JF🤐
 
Huyo sterling hapo aliyetajwa mwenye dada, shem na best friend wa kike ni wa kiume au wa kike?
 
wewe shemej ake hapo ni kumwambia tu shemeji kua shemeji yake hujapenda na pia best ako ajue shemeji yako wewe yule ni shemeji kwako na wewe ni shemeji yake,je hata kwa best ako atakua ni shemeji yako na wewe shemeji yake? sio vizuri kbs mwambie
 
Umegundua shemeji yako(mume wa dada yako) anatoka kimapenzi na bestfriend wako wa kike😳😳😳 na hawajui kwamba wewe unajua.

Unafanyaje? Una mconfront bestie yako au shem? Au unaenda kumuambia dada yako?😫😫😫

Nisaidie wana JF🤐
heee,
kulikoni kunyapia nyapia na kupiga chabo ya watu yasokuhusu 🐒
 
Umegundua shemeji yako(mume wa dada yako) anatoka kimapenzi na bestfriend wako wa kike😳😳😳 na hawajui kwamba wewe unajua.

Unafanyaje? Una mconfront bestie yako au shem? Au unaenda kumuambia dada yako?😫😫😫

Nisaidie wana JF🤐

Hakunaga urafiki baina ya Mwanamke na mwanaume isipokuwa upenzi, uchumba na mke full stop.

Ungeuliza, ikitokea shemejio(mume wa dadaako) akimla mchumbaako unafanyaje? Nafikiri ndio lingekuwa swali zuri.
 
Kuna wanaume kibao wana marafiki wa kike; usizungumzie wanaume 4 billion duniani; jizungumzie peke yako
 
Hao wanaume unaozungumzia ni mashoga.
Huwezi kuwa na rafiki wa kike asiye mpenzi, mchumba au mke.
Ndio unaambiwa hakuna urafiki baina ya mwanaume na mwanamke.

Labda hujui nini maana ya urafiki.

Nikikuuliza maana ya Urafiki utajibuje?
 
Huyo sterling hapo aliyetajwa mwenye dada, shem na best friend wa kike ni wa kiume au wa kike?
Swali nilikuwa nalitafuta hili nimeliona sasa,,, Maana kama ni mwanaume sisi huwa tunafichiana siri ata iweje ingawa siku hizi kuna baadhi ya wanaume ubwabwa ubwabw ila kwa wanawake hapo jamaa ameisha hawana siri hawa viumbe
 
Angalia wewe na dada Ako msije poteza marafiki zenu, wakaungana na kuwa pamoja na kuwaacha wewe na dada Ako mkitoa macho.
 
Back
Top Bottom