Wkaijage Senior Member Feb 14, 2012 195 13 Feb 21, 2012 #41 Inaonekana kijana huna matatizo ya fweza,coz madolaz yote hayo,we kula,kunywa ila usikiuke mashart yake.
Inaonekana kijana huna matatizo ya fweza,coz madolaz yote hayo,we kula,kunywa ila usikiuke mashart yake.
S shujaa Member Jul 10, 2009 63 18 Feb 21, 2012 #42 Kimbilia polisi na uwakabidhi mzigo wote kama ushahidi.