ukifumaniwa na soksi utajiteteaje?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,174
Mwandani wako kaifumania soksi kwenye mfuko wako wa suruali au kwenye kibeti chako. Hivi utajieleleza vipi?.......au utajitetea vipi? Nyie mambo yenu ni pekupeku maana mnaaminiana sana tu sasa hii soksi kulikoni ni ya kazi ipi tena? Au unachemsha zako huko za pembeni.....

Norah-Jones-002.jpg
 
Namwambia ndio nataka tufanye majaribio siku hiyo, maana inasaidia ladha ya nanasi na chungwa.

atakuuliza ufanye majaribio na nani na hata hamjawahi kushauriana?
 
mm kuna rafk yangu mkewe aliikuta mfukoni,ilikua kes kubwa!ila unajua tena akina mama wana huruma,yakaisha!ila ilikua timbwiri la kufa mtu!
 
Mzee mmoja Mchagga akiwa mjini Shinyanga alitembelewa na mkewe ambaye huishi kijijini. Huyo mzee alikuwa na Land Rover 109 ambayo aliitumia kibiashara kwenda magulioni.

Siku chache baada ya bi mkubwa kufika Shy, akakumbana na soxy kwenye nguo za mzee wakati anazifua. Alikuwa hajui ni kitu gani hivyo akamwekea.

Mzee aliporudi akaambiwa: 'kuna hii kitu nimeikuta kwenye nguo zako'.

Mzee akajibu: 'Ooh afadhali, nimeitafuta sana, huwa inatumika kuziba pancha kwenye tairi'.
 
teh..teh..teh..teh
 
[h=2][/h]
mm kuna rafk yangu mkewe aliikuta mfukoni,ilikua kes kubwa!ila unajua tena akina mama wana huruma,yakaisha!ila ilikua timbwiri la kufa mtu!

sithole mara nyingi atahisi unadili fulani na ndiyo maana lazima alete zengwe la uhakika ili ajue ukweli ulivyo.......
 
Nimekutana na promotion njiani wananikonvisi kununua kwa ajili ya majaribio hasa ya kupanga uzazi.

uzazi upi na yeye tayari alikwisha kufunga kizazi tana kwa mashinikizo yako mwenyewe............
 
ngumu kumesa! Namwambia huwa natumia kujichua ukiwa haupo kupunguza sugu kunako dushelele.
 
Mzee mmoja Mchagga akiwa mjini Shinyanga alitembelewa na mkewe ambaye huishi kijijini. Huyo mzee alikuwa na Land Rover 109 ambayo aliitumia kibiashara kwenda magulioni.

Siku chache baada ya bi mkubwa kufika Shy, akakumbana na soxy kwenye nguo za mzee wakati anazifua. Alikuwa hajui ni kitu gani hivyo akamwekea.

Mzee aliporudi akaambiwa: 'kuna hii kitu nimeikuta kwenye nguo zako'.

Mzee akajibu: 'Ooh afadhali, nimeitafuta sana, huwa inatumika kuziba pancha kwenye tairi'.

duh hiyo ni kiboko...........na kazi yake ni kuziba pancha ili kuzuia yasiyotakikana kujitokeza.....na kushinda
 
ngumu kumesa! Namwambia huwa natumia kujichua ukiwa haupo kupunguza sugu kunako dushelele.

loh........kapalampya.....unajichua na mpira si utakuumiza....................akikuuliza kwa nini usijichue na mikono utamweleza nini?
 
Mkuu its easy.., hivi hujakunatana na wale watu wa Ukimwi wanagawa Condom bure..., au huwezi kumchukulia rafiki yako fulani ambaye nyendo zake mbovu ili atumie.., au rafiki yako hawezi kukupa ili umuwekee ili wife asiione, au huwezi kuiona rafiki yako kaiangusha ukaiokota ili uje umpe baadae (don't want anything to go to waste)

If everything don't work.., I guess "It Wasn't Me....." is the last option to use.
 
labda uniambie imeshatumika au bado? kama bado inazungumzika ila kama tayari hujniconvice bado.
kama haijatumika na iliyotumika si zinafanana tu...........siyotumika inaweza kuwa njiani kutumika.............na iliyotumika inamaanisha safari nyingine huenda iko njiani pia.............si mwonja asali haachi hadi achonge mzinga..........
 
Back
Top Bottom