ukifumaniwa na soksi utajiteteaje?

aah, hivi hayo madude yako
humu bado, nlimwambia yule mwalimu atanisababishia ugomvi home, sasa
ona,
ni ya kufundishia huko, si unajua maelimu ya ukimwi siku hizi
wanaonyesha mashuleni huko, emu yatupe bana watatfuta, hata hivo sina
muda wa kuwapelekea hiyo kesho nina kazi nyingi

Wewe kiboko!
 
Umenichekesha sana mkuu,mimi nilishuhudia ndugu yangu mmoja alikua ametoka safarini Serengeti kikazi,basi mkewe akawa amechukua nguo zake zote kwaajili ya kuzifua ndipo alipokuta Soxy kwenye suruali aliyokua ameivaa siku amerudi,Jamaa alipoulizwa jibu lilikua rahisi sana,Alisema;NIMEPEWA NA MZUNGU,ugomvi ulikua mkubwa suluhu ilipatikana baada ya kikao cha wazee.

Mzee mmoja Mchagga akiwa mjini Shinyanga alitembelewa na mkewe ambaye huishi kijijini. Huyo mzee alikuwa na Land Rover 109 ambayo aliitumia kibiashara kwenda magulioni.

Siku chache baada ya bi mkubwa kufika Shy, akakumbana na soxy kwenye nguo za mzee wakati anazifua. Alikuwa hajui ni kitu gani hivyo akamwekea.

Mzee aliporudi akaambiwa: 'kuna hii kitu nimeikuta kwenye nguo zako'.

Mzee akajibu: 'Ooh afadhali, nimeitafuta sana, huwa inatumika kuziba pancha kwenye tairi'.
 
Miaka ya 198... nikiwa bado kwenye ndoa,
baba yenu alienda ileje akiwa na msafara wa
mkuu wa wilaya (mama mmoja ambaye alishakuwa mkuu wa mkoa wa Kili..)
kurudi katoa nguo kwenye mfuko kama kawaida, ile anatoa jaketi tu ikadondoka ndom
tena ilikuwa imetumika, alichofanya aliidaka kama paka anavyomdaka panya akaisokomeza mfukoni
akatoka nje, so lake jaza mwenyewe hapa chini.

iliyotumika utaiifadhi vipi mzee atakua alichomekewa tu.....du pole sana ndio iyofanya muachane au.
 
hapana mkuu,
hiyo ilikuwa issue ya kawaida tu,
tena miaka ya 80s, mambo yalikuja haribika kabisa miaka ya
elfu mbili mwanzoni.

dalili ya mvua ni mawingu............lakini mim ninaamini kila kitu hutokea kwa sababu fulani...............tunaweza tusijue lakini kuna siku Mwenyezi Mungu atakufunulia kila kitu alichokuwa anakukwepesha.......
 
hata hivyo kila kitu kilishaonekana,
kwa kuwa hili ni jamvi
tunakwenda mdogo mdogo.

But namshukuru Mungu.

dalili ya mvua ni mawingu............lakini mim ninaamini kila kitu hutokea kwa sababu fulani...............tunaweza tusijue lakini kuna siku Mwenyezi Mungu atakufunulia kila kitu alichokuwa anakukwepesha.......
 
Itategemea mwanamke atachukuliaje! Mi iliwahi kunitokea nilishindwa kujieleza, na kibaya zaidi nilikuwa nimetoka out na shemeji yangu (mdogo wake wife) tulienda wote harusini. Nilizinunua kuweka tahadhali lakini bahati mzuri shem alidai tusidu tutadu siku nyingine,
Ilibidi niondoke asubuhi nile mtungi wa kutosha nijilewee nzwi ili asahau!
 
Back
Top Bottom