Ukiepuka mke/mume wa mtu na wanafunzi utakuwa salama

Write your reply...daah ni kweli mkuu wanafunzi wabaya sana mwezi mmoja nyuma hapa mtoto wa diwani chama cha kijani nilimpa kibendi daah sema kale kabinti kalitoa ilibidi niingie chimbo kuepuka msako maana

kalikuwa hakaendi shule kanashinda ghetto
daah kweli vitamu ndo vina madhara
 
Ni uzi mfupi sana lakini kwa mwanaume kamili atakua ameelewa. Wanafunzi na mke wa mtu wanaweza kuharibu future yako within a minute. Unaweza ukaishi stressfully lives within a region you are. Thank you sana ndugu kwa kutukumbusha
 
Poleee mzee dingi
 
Kwa akili zangu, nimechunguza sana nikaona matatizo mengi ya mauaji na visanga katika dunia hii huletwa na mapenzi.

Ukiepuka mke/mume wa mtu na wanafunzi utakuwa salama. Tafuta wasio hao.
Hayo yote ukaepuka lakini wakachukua mke wako je?
 
Luna Ticha ame
Write your reply...daah ni kweli mkuu wanafunzi wabaya sana mwezi mmoja nyuma hapa mtoto wa diwani chama cha kijani nilimpa kibendi daah sema kale kabinti kalitoa ilibidi niingie chimbo kuepuka msako maana

kalikuwa hakaendi shule kanashinda ghetto
daah kweli vitamu ndo vina madhara
Kuna Ticha amesota nyuma ya nondo kama wiki3 namjua na my best friend ishu denti vitam ila vinagarimu sn
 
Ni uzi mfupi sana lakini kwa mwanaume kamili atakua ameelewa. Wanafunzi na mke wa mtu wanaweza kuharibu future yako within a minute. Unaweza ukaishi stressfully lives within a region you are. Thank you sana ndugu kwa kutukumbusha
Asante Mkuu ipo mifano mingi hawa watu wamegarim maisha ya watu
Na ilivyosasa hao wake za watu na wanafunz yn ndio wamekuwa more cheap
 
Qurie,
Cyo wanaume hata wanawake mnapenda vya rahisi.
Na maisha ya watu hawa wamekuwa rahisi an mitego ambayo vigum kuepuka wakat mwingine
 
Back
Top Bottom