Ukienda bila kutumia akili unaweza kusema umependwa

2jifunze kutofautisha kati ya uchangamfu na upendo! Huyo dada amekuchangamkia na wala hajakupenda wewe umejiongeza tu!
 
2jifunze kutofautisha kati ya uchangamfu na upendo! Huyo dada amekuchangamkia na wala hajakupenda wewe umejiongeza tu!

ndio ajichekeshe hadi amwambie fazaa atamuoa yeye! Mmh! Uchangamfu nao una mipaka yake. Ikizidi inaleta hofu.
 
Ukienda tena anakuba ka kwani per day anaona wangapi kama ww mshamba tu huyo.
 
" Tinga tingali nimepatwa na muazara,mara nikasikia phone yangu ikiita nikapokea kumbe ni ankali yangu amenitumia pesa kwa western union lkn kimoyoyo moyo akili iliniambia kwatuaaaaa"

For Promotional Use Only
 
siku nyingine inabidi fazaa aende na mazaa.

halafu hivi umeshamsoma huyu fazaa? anaonekana anapenda sana kukaa viti vya mbele..mtu akimtabasamia tu yeye tayari anajua mtu kamzimia....hawa manesi na madaktari hawa wana lugha zao za kufariji..pengine alimuona fazaa anahangaika na mtoto hospitali ikabidi amsaidie..na ndio maanaalikuwa haishi kumsifia mtoto...huyu fazaa huyu yeye moyo tayari akawa amenyoosha goti
 
hahahaha! Mi nahisi kaongeza na chumvi kwenye habari. Heee, na wewe mtu akikutabasamia hauwi kama fazaa? Kama unakuwa kama fazaa nipunguze kukuchekea. Lol.
 
Hayo ni masihara 2 mkuu, mi ninavyofahamu iwapo mwanamke amevutiwa/kumpenda mwanaume hawezi kumshobokea ki-hivo ataishia kuwasimulia wenzie sifa zako 2.

Hiyo ni sehemu ya huduma kwa wateja(customer care).

nahis hvyohvyo!
 
Back
Top Bottom