Kwanini kukatika kwa umeme Ubungo kumekuwa sugu kiasi hiki?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,994
17,895
Tunaoishi Goba, Kimara hadi mbezi hadi Ubungo na maeneo mengine ni mashahidi wa hili

Hii wilaya ya Ubungo tatizo la umeme limekua ni sugu kupindukia matatizo ambayo hayakuwepo miez mingi iliyopita

Migao ya kijinga jinga tu daily haya matatizo sijui yataisha lini

Mtu umejitahidi umefunga AC hata huenjoy kwa umeme huu wa Tanesco
 
Mbezi malamba mawili,kibamba hadi kiluvya umeme hamna,viongozi hawajui adha ya kukatika umeme sababu makwao wanatumia stand by generator
 
Utajubiwa na nani wakati kibibi kipo bize nchi za waarabu kujiwekezea chenyewe na familia yake?
 
Back
Top Bottom