Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,980
- 22,171
Wanandugu nafurahia kuona dunia ikiongezeka na huku watu wakiwa na amani....kuna haya mambo yanatokea makazini unakuta mkuu wa kazi anakufwatilia utasema ndie aliekupa mimba...cha ajabu unaaajiriwa ukiwa na mimba changa gafla umepata kazi ndani ya miezi mitatu mimba hiyo inachomoza mwajiri anakwambia siwezi kufanya kazi na wewe sheria inasemaje jinsi ya kuwalinda wajawazito makazini
virg
sweetbaby
virg
sweetbaby