Ukiajiriwa na mimba changa sheria ya kazi inasemaje jamani??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,722
21,775
Wanandugu nafurahia kuona dunia ikiongezeka na huku watu wakiwa na amani....kuna haya mambo yanatokea makazini unakuta mkuu wa kazi anakufwatilia utasema ndie aliekupa mimba...cha ajabu unaaajiriwa ukiwa na mimba changa gafla umepata kazi ndani ya miezi mitatu mimba hiyo inachomoza mwajiri anakwambia siwezi kufanya kazi na wewe sheria inasemaje jinsi ya kuwalinda wajawazito makazini
virg
sweetbaby
 
Sweetbabe,kuna jukwa la sheria nadhani kule unaweza pata msaada.
 
miaka ya nyuma Kuna wajinga walitaka kumfanyia hivyo mke wangu, nilienda mimi mwenyewe nikamwambia mkurugenzi wao kama anataka kumfukuza wala haitaathiri chochote katika kipato chetu kwa sababu wife alikuwa anafanya kazi kama hobie tu! nikamwambia kikubwa waandike barua rasmi ya kumsimamisha kazi, tena waeleze wazi sababu kuwa ni UJAUZITO! Mkurugenzi akabana mat*ko na heshima nyingi! na likizo ya uzazi akatoa na malipo bila wasiwasi! WAAJIRI WENGINE MPAKA UWACHIMBE MKWARA!
ILA DAWA YA MUHINDI NI KUMKALIA KOONI TU! WANALIA HAOO...!
 
Someni sheria za kazi mpya. Likizo ya kwanza ni baada ya miezi 8. Likizo ya uzazi iko kwenye hii ila huwezi kupata likizo ya uzazi kwa kuzaa mfululizo . Ni baada ya 3 years.
 
Someni sheria za kazi mpya. Likizo ya kwanza ni baada ya miezi 8. Likizo ya uzazi iko kwenye hii ila huwezi kupata likizo ya uzazi kwa kuzaa mfululizo . Ni baada ya 3 years.
which means sio mwaka mmoja?
na hii inainclude probation period au ni kuanzia baada ya probation?????
 
Someni sheria za kazi mpya. Likizo ya kwanza ni baada ya miezi 8. Likizo ya uzazi iko kwenye hii ila huwezi kupata likizo ya uzazi kwa kuzaa mfululizo . Ni baada ya 3 years.
Nafikiri sijakuelewa vizuri.Yupo kazini miezi mitatu na anamimba. Amefukuzwa. Je sheria ni kufukuzwa tu?.Hakuna alternative?
 
Wanandugu nafurahia kuona dunia ikiongezeka na huku watu wakiwa na amani....kuna haya mambo yanatokea makazini unakuta mkuu wa kazi anakufwatilia utasema ndie aliekupa mimba...cha ajabu unaaajiriwa ukiwa na mimba changa gafla umepata kazi ndani ya miezi mitatu mimba hiyo inachomoza mwajiri anakwambia siwezi kufanya kazi na wewe sheria inasemaje jinsi ya kuwalinda wajawazito makazini
virg
sweetbaby

SB....Sheria inaruhusu kubeba mimba anytime na utapata martenity leave ila baada ya hapo inabidi ukae miaka 3 kabla hujawa entitle kupata likizo nyingine kama hiyo.

Ila kama mtoto atafariki, unaruhusiwa kubeba mimba and you will be entitled to martenity leave ndani ya ile ile leave cycle!!

Jiridhishe zaidi kwa kupitia sheria No.6 ya 2004 (am also available for free consultation) hahaaaaa
 
na kweli sijui ni kwa wahindi hapo ..unapewa mwezi mmoja tu ukishajifungua hapa nilipo baada ya hapo no maternity leave
 
Kama ni mhindi ni kumpiga mkwara atanywea tuu,kuajiliwa ukiwa na mimba sio issue sasa kama una ngoma si ndo atakutema na mate
ngoja nikatafute ako kasheria
 
Kama ni mhindi ni kumpiga mkwara atanywea tuu,kuajiliwa ukiwa na mimba sio issue sasa kama una ngoma si ndo atakutema na mate
ngoja nikatafute ako kasheria

Njowepo afadhali uendepo kujinunulia, tena hao magabachori ukiwatishia vifungu wananywea vibaya mno....we martenity leave mwezi mmoja, ntawapeleka CMA nipate za rereeeee fasta!!!
 
Wanandugu nafurahia kuona dunia ikiongezeka na huku watu wakiwa na amani....kuna haya mambo yanatokea makazini unakuta mkuu wa kazi anakufwatilia utasema ndie aliekupa mimba...cha ajabu unaaajiriwa ukiwa na mimba changa gafla umepata kazi ndani ya miezi mitatu mimba hiyo inachomoza mwajiri anakwambia siwezi kufanya kazi na wewe sheria inasemaje jinsi ya kuwalinda wajawazito makazini
virg
sweetbaby

"Siwezi kufanya kazi na wewe" maana yake nini? Anakufukuza kazi au nini?

Sheria inamtaka mwajiri 'kutomruhusu' mwanamke mjamzito au anayenyonyesha kufanya kazi ambazo zinaweza kuleta madhara kwa afya ya mama mjamzito au mtoto au wote!

No employer shall require or permit a pregnant employee or an employee who is nursing a child to perform work that is hazardous to her health or the health of her child.

Je, wewe umeajiriwa kufanya kazi gani? Je mwajiri wako anao uwezo wa kukupangia kazi nyingine kama hiyo unayoifanya ina madhara kama nilivyoeleza hapo juu?
 
Likizo ya uzazi iko kwenye hii ila huwezi kupata likizo ya uzazi kwa kuzaa mfululizo . Ni baada ya 3 years.

Dah kuna watu jamani wanazaa kha! katoto kana mwaka 1 unakuta mama tayari ameshakuwa meneja kha! hata aibu hana tumbo hilo sijui kanyonyesha miezi 8? sasa kama huyu likizo si zitakuwa nyingi.
 
KAMA UPO sERIKALINI UNAPASWA UFUTE=WE KAZI MARA MOJA, NA DAKTARI ALIEKUPIMA MKOJO ANAPASWA AWAJIBISHWE KWA KUTOTOA TAARIFA SAHIHI, NA Afisa uajiri husika kama taarifa ya dactari ilionesha mapungufu hayo na yeye hakujishughulisha kukufuta kazi anapaswa kutimuliwa kwa notisce ya saa 24.
 
dada flani kakaaa miaka sita kazini, baada ya miaka sita hiyo akabahatika kupata mtoto, kuona umri umesonga kaamua kutumia style ya kata mti panda mti, mtoto ana mwaka na miezi mitano na mdogo wake yuko njiani bado miezi mitatu...huyu naye vipi?!
 
huyo anaichungulia likizo bila malipo fulu stop
 
Dah kuna watu jamani wanazaa kha! katoto kana mwaka 1 unakuta mama tayari ameshakuwa meneja kha! hata aibu hana tumbo hilo sijui kanyonyesha miezi 8? sasa kama huyu likizo si zitakuwa nyingi.

no salary...akazae huko akae martenity patupu....
 
Nafikiri majibu mengine tunayatoa hapa kwa ushabiki tu bila kuelewa sheria ya kazi inasemaje katika hili. kwanza huwezi kupata likizo kabla ya kuisha miezi nane na hapo ni pale umemaliza probation period which is either six month or one year. nafikiri katika hilo swala ulilosema mwajiri anaweza akawa na la kusema katika hiyo mimba coz kwanza utachukua likizo ya uzazi may be ukiwa katika probation period ambapo mwajiri anaweza kukatisha mkataba wa ajira kwa kukupa notisi ya mwezi mmoja au mshahara wa mwezi badala ya likizo.

Ningependa muelewe msimamo wa sheria kabla ya kutoa majibu ya ushabiki na hili halitegemei whether mwajiri ni mhindi, mzungu au mweusi. lazima tuwe waelewa wa sheria ya kazi na taratibu zake hasa ikizingatiwa kuwa ni nia wa mwajiri apate huduma nzuri kutoka kwa mwajiriwa wake na mwajiriwa atendewe haki wakati akiwa kazini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom